Gavana wa BOT, Prof. Benno Ndulu kisaini kitabu kabla ya kukipata mealezo toka Meneja wa Banda la BOT, John Kimaro
BOT IMESHIRIKI KWA MAFANIKO MAKUBWA KATIKA MAONESHO YA KILIMO YA NANE NANE MJINI DODOMA NA KUWEZA KUTWAA USHINDI WA PILI KWA TAASISI ZA HUDUMA KUSUKUMA MBELE KAULIMBIU YA KILIMO KWANZA
Picha na na mdau Mikuza wa BOT.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Dodoma International, wakisongamana kushuhudia utambuzi wa noti bandia kwenye banda la BOT
Afisa wa BOT, Harry Mwansembo, akitoa maelezo kuhusu noti bandia kwenye banda la BOT Dodoma jana..





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. sasa dodoma ni nusu jangwa,kulivo kukavu na joto,hao watoto wanawavalisha masweta..kama sio kutaka kuwaua ni nini.maana dar yenyewe sweta huvai. uniformhizi zina mushkeli,wazirevise

    ReplyDelete
  2. wee kilaza acha ushamba, jangwani usiku na alfajiri ni baridi sana. Dodoma kukame ila si kihivyo, kunakuwaga na baridi vile vile.

    ReplyDelete
  3. Labda ni macho yangu au sijui, tangu haya maonyesho yaanze sijaona picha za bustani, wanyama, mimea bora. naona tu ofisi za bunge, elimu nk. hivi haya manyesho ni ya maofisi au kilimo. Si kila sherehe na shughuli yake?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...