Mkurugenzi wa Lena Event Lena Calist akizungumza na wanahabarikatika mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski leowakati wa uzinduzi rasmi wa bahati nasibu ya Miss East Africa ambapogari aina ya Range Vogue Sports litashindaniwa
Mkurugenzi wa Lena Event inayoandaa Miss East Africa Lena Calist akionyesha gari aina ya Range Vogue Sport lenye thamani ya dola zaKimarekani 165, 000 litakaloshindaniwa katika bahati nasibu ya MissEast Africa iatakayoanza kesho mpaka siku ya fainali ya Miss EastAfrica itakayofanyika desema 18 2009 jijini Dar es salaam. wenginewaliopo katika picha ni Foti Gwebe Nyirenda Mshauri wa Mauzo CMC Motors na katikati ni Miss East Africa namba mbili mwaka 2008 Annete John

Lena amesema ili kucheza bahati nasibu hiyo utatakiwa kununua tiketi kwa shilingi 1000 au kucheza kupitia simu ya mkononi kwamitandao yote ukituma neno SHINDA kwenda namba 15567 kwa shilingi kujipatia nafasi zaidi ya kushinda zawadi hiyo ya Gari.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nafikili ni wakati mzuri wa kuchukua nafasi hii kuwauliza uongozi mzima wa bahati na sim hii,1 je hakuna uwaezekano wa watu ambao wako nje ya nchi kucheza bahati na sibu hiyo? na kama wanaweza kucheza kuna jinsi gani ya kufanya ili mtu akiwa anapenda kucheza acheze.me ninahayo tu.thank i hope uongozi utanifahamisha swali langu.marlessa mussa wa 22.

    ReplyDelete
  2. Swali zuri kabisa kwa mdau hapo juu ni kweli kabisa kuwa hata sisi wadau tuliokuwa huku ugaibuni tungependa kushiriki katika bahati kama hizo tunaomba maelekezo jinsi ya kushiriki asanteni sana...mdau uholanzi.

    ReplyDelete
  3. How much is this car again?!?! And what year is it??

    ReplyDelete
  4. sasa na shangazi yangu anayekaa KALEMELA-URAMBO, atacheza vipi?basi anzisheni bahati nasibu ya ushindi wa baskeli ... bongo matabaka yazidi kuji rutubisha.
    mdau Tabora.

    ReplyDelete
  5. i might sound kama "much know" lakini huku marekani hakuna RangeRover ya $165,000/=....mayBe iwe custumize....bulletproff,luxuries equipments n.k..nyinyi majamaa cjui mnatoa wp news zenu...yaani mnafanya Uncle naniihii kama hajui anaposimamia...if u know wht mean!!LOL!!

    ReplyDelete
  6. Uncle nanihiii sometimes hawa watu wawe wanato vielelezo vya thamani ya hivi vitu. Maana hiyo bei ya gari wanayoisema sijui wameitoa wapi?!?!?!?!?!?

    ReplyDelete
  7. The Range Rover Sport debuted for the 2006 model year and is still in its first generation. No significant changes have occurred since.




    SELECT A SPECIFIC LAND ROVER RANGE ROVER SPORT MODEL YEAR*

    Year TMV Price (What's this?)
    Current Land Rover Range Rover Sport $73,500
    2009 Land Rover Range Rover Sport $50,663 - $62,168
    2008 Land Rover Range Rover Sport $43,697 - $53,627
    2007 Land Rover Range Rover Sport $38,601 - $47,280
    2006 Land Rover Range Rover Sport $34,260 - $41,532
    HIYO YAO NI YA MWAKA GANI???????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...