wananchi wakiwa wamefurika katika banda la Bunge katika maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea mjini Dodoma ili kupata elimu kuhusu shughuliu za Bunge zinavyotekelezwa. picha na owen Mwandumbya wa Bunge
Athumani Kwikima, wa ofisi ya Bunge, akiwaonyesha wananchi nakala ya Hansard ikiwa imesheheni majadiliano ya Bunge ya siku moja

Koplo Juma Simango kutoka ofisi ya Bunge (Sergent at arms officer) akieleza namna siwa inavyotumika Bungeni kwa baadhi ya wananchi wanaotembelea banda la Bunge katika maonyesho ya Nane Nane yanayoendelea mjini, Dodoma.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Eee bwana, Athumani Kwikima, umenikumbusha mbali sana, kumbe upo Ofisi ya Bunge?. Nakumbuka mzee wako alikuwa mshauri wetu kipindi nipo pale Kazima secondary Tabora. mlikuwa karibu sana na shule yetu ya Kazima, poa sana nafurahi kuona wanatabora mpo ngangari, tukumbukane basi. Kama sikosei wewe pia ulisoma Kazima eenh!, kama yes mimi ni mwenyekiti wa waislamu wa Kazima 1993, sijui kama utakumbuka. kazi njema.

    ReplyDelete
  2. This unequal world. The Big man on the right versus the small men on the left! I can bet my bike (and only bike) that both in gold and money the right will weigh more than the left (combined?).

    ReplyDelete
  3. siku ile mlimfagilia spika na katibu. leo mmekumbuka kujifagilia wenyewe? swali, hiyo picha ya kwanza ya kufurika, mbona sare tu?

    ReplyDelete
  4. jamani kaka michu na wadau wengine ningependa kujua neno SIWA kwa kiingereza ni lipi?

    ReplyDelete
  5. Tupe maana ya hilo neno kwanza kwa kiswahili. Siwa ni acronym au?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...