MOTO MKUBWA UMEUNGUZA SEHEMU CHA KIWANDA CHA MURZAH OIL BARABARA YA NYERERE JIJINI DAR JIONI HII, MALI KADHAA IKIWA NI PAMOJA NA MAGARI NA MAROBOTA KIBAO YA KARATASI KUTEKETEA KABISA. HAKUNA MTU ALIYEUMIA
GLOBU YA JAMII IKO ENEO LA TUKIO NA ITALETA TASWIRA NA HABARI ZAIDI BAADAYE.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...