Familia ya Bw. George na Bi. Judith Muro wa Dallas TX USA, wanayo huzuni kutangaza kuondokewa kwa mama yao mpenzi, Prisca Mushi, kilichotokea jana August 16, 2009 nyumbani kwao Dallas Texas.
Utaratibu mzima wa mazishi na safari ya kuelekea Tanzania utatolewa baadaye, ila kwa wote watakaoweza, mnakaribishwa nyumbani kwa wafiwakatika anuani hii:
1652 Crown Point Dr
1652 Crown Point Dr
Frisco TX 75034
Kwa maelezo zaidi tafadhali
piga simu kwenye namba hii
940 465 5195.
poleni sana from shunu mdau houston tx
ReplyDeleteJamani poleni sana wafiwa huko Texas na hapa UK sisi tunatoa rambirambi zetu kwa Mwanakombo mdau mwenzetu, pole sana kwa kufiwa na mama yako, Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.
ReplyDeletePoleni wafiwa mungu awajaze nguvu na amani,kipindi ni kigumu kwa kweli,ila kipindi cha raha hamtoi anwani zenu mnaogopa kulogwa na kipindi cha shida mnatoa tuwaelewe vipi basi.
ReplyDeleteMrs.Padmore,The Colony Texas