Home
Unlabelled
Da' Flora nducha anawakawaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana Flora Nducha. Mkuu wa wilaya ya naniii usitunyime picha ya harusi. Waosha vinywa jibu hilo...
ReplyDeleteFrola ongera sana, umenikumbusha sana enzi za UD, nimefurahi sana kuona hatua uliyofikia, nakutakia kila la kheri katika maisha mapya.
ReplyDeleteDa Flora Nducha ndiyo yupi? na mpambe wake ndiyo yupi? wengine hatumfahamu tufafanulie kwenye picha kama ni wa shot au kulia tumjue.
ReplyDeleteJamani hii nafasi ya kwenda kuishi UK na Flora niliitafuta kweli lkn wapi. Hiyo njemba ndo imepata makaratasi kirahiiiiiiiiiiiisi. Hongera njemba. Umenipiga bao la kisigino.
ReplyDeletehongera wajina hakika unameremeta mdau uliyeuliza flora ndo yupi ni huyo mwenye nguo nyeupe jamani hata bila kuuliza inajipa tuu
ReplyDeletehongeara flora sana,ila ulivyyo na miguu mizuri unavaa magauni marefu ya nini ungvaa gauni hadi kwenye magoti tu inatosha. we vipi, ila hongera sana
ReplyDeleteJana kumbe ilikuwa tar 12/11/2008? Mbona sikumbuki hivyo?
ReplyDeleteYaani wewe umeona miguu iliyofunikwa lkn kifua ambacho kiko wazi hukukiona! Mimi nasifia kifua basi.
ReplyDeleteHapo Maulid wa Kitenge anapewa hamu ya kuoa mke wa 3
ReplyDeleteHongera sana dada Nducha,have a nice life.ebanaa eeeh Deo Mwanambilimbi duh ndugu yangu upo? za tangu Oysterbay primary class of 87'[7b],big up boy.
ReplyDeletemichuzi hiyo mikameraX2 mnanunua mbona inawapiga chenga???
ReplyDeletewewe wasema 'jana' nyenzo(kamera)ktk picha inasema '12/11/2008' angalieni mtajauziwa hata na 'time Bombs'kwenye hizo vekisheni zenu mkalipua 'watu' bure!!!
- anyway jokes aside michuzi,hii shughuli ni ya lini???
Angalia Wewe Anon; 23/08 04:25 sio kila kitu uonacho uamini in shot hayo ni mazingaombwe ya digitali kamera.Jaribu kupata moja uitumie na utajifunza mengi kwa hakika.
ReplyDeleteWatu comment zenu huwa zinanichekesha sana. eti "Hapo Maulid Kitenge amepata hamu ya kuoa mke wa 3" dah hii kali ya mwaka
ReplyDeletenakuunga mkono ma mwili wote wewe uliyesema maulidi atapata hamu ya kuoa mke wa pili ni kweli kabisa sasa hivi ataoa njoo unioe mimi safari hii uone nitakacho kufanya ndo utakuwa mwisho wako wa kuoaoa
ReplyDeletemi ndo mke wa 3 wa maulidi
ReplyDeletemwaka huu ndo nampikia futari labda mseme apate hamu ya kuoa mke wa nne..
hongera Flora nducha
Hongera kwa ndoa. Lakini picha ni za 2008 kulikoni? Au hiyo ndiyo embargo katika uandishi? Au Mpiga picha alikosea tarehe akaweka tarehe ndiyo-siyo? Tunaomba majibu.
ReplyDeleteDocta Zuu tunakumiss huku Barking lini unarudi ?(You know who pale magorofani tukasahau pram chini) hehehe
ReplyDeleteHongera Da Flora Nducha umependeza Mashallah,
Jamani muacheni Maulid aoe mke wa tatu tena mbichi kabisa safari hii mdogo mwenzie!Afute dosari la mke wa kwanza na wa pili!
ReplyDeletejamani kuuliza si ujinga kwani flora nducha ana makaratasi???
ReplyDelete