Mrakibu Msaidizi wa Polisi ambaye ni Mkuu wa Kituo cha Oysterbay jijini Dar Afande Herman Fundi (kulia) akipokea cheki ya Tshs 1,618,000 kama mchango wa kampuni ya Galileo and Travelport Co. toka kwa kaimu meneja wa Business Continuity and Planning, Andrew Lauwo ili kuisaidi timu ya Oysterbay Police Football Club inayojiandaa kuchuana katika KOVA Cup Sports Bonanza 2009 hivi karibuni. Wenginme toka shoto ni meneja wa Fedha na utawala wa Galileo Mohammed Siu na koplo Herman Chuma ambaye ni mwenyekiti wa Oysterbay Club.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Very proud of you Andrew...a few yrs tulikuwa primary tbt, now a step further in life, keep it up ....and see u soon at the end of oct,i will be touching down in Bongo..mdau Birmingham, UK

    ReplyDelete
  2. Galileo Mpo Juuu Andrew na Kaka Siu mnatisha hadi kwa Kova

    Daddy Dee

    ReplyDelete
  3. *******nzi1: kaka endeleza libeneke la michezo. mimi ni mdau wa "masegimenti greater than 97,000". Tupo pamoja.(*** oye!!!!!!!!).

    ReplyDelete
  4. Heee,mambo hayo...Andrew Lawuo nakuona hapo uko juu Kaka,( shemeji) umegonga hodi hadi kwa Wakuu..keep it up ...Hongera sana ,kweli Galileo siyo kwenye System tu hata Michezo pia ,Mko juuu,Congrats.,Uje airport uchukue zawadi..

    Mdau Flo%

    ReplyDelete
  5. sema mtoto wa lauwo,...nakuona sana 2...siu miss u much,..am so missing galileo keep it up my people..

    Vallery

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...