Waraka kwa Wadau
By US Blogger
By US Blogger
I have on several occasions urged my fellow bloggers to refrain from impersonating others on our blog but the problem seems to be escalating.
I have just read an article posted under the name of ‘US Blogger’, this is pretty dismaying and only leads to an unnecessary state of disarray. I am a stern proponent of diversity of opinions but at the same time I am of the belief that speakers should take ‘ownership’ of what they express.
‘US Blogger’, you have exercised your democratic right to express yourself and I am pretty sure there will be mixed reactions from the readers and other bloggers, that is inherently expected. However, it was quite ‘irresponsible’ to claim to be ‘US Blogger’.
Hijacking names of others only brings unnecessary chaos and confusions. Readers have the right to know the position of speakers on issues. It is my sincere hope that you will continue to be an active participant on our blog but at the same time at least observe this basic rule of blogging so that the audience will not be misled.
I read the "US Blogger". I could tell from the content and mastery of the language that it was not you. This is disgraceful. Shame on you, the impositor.
ReplyDeleteWadau wenye uelewa wa sheria hebu tuelimisheni kwa hili. US blogger maana yake ni blogger kutoka US. Wadau wote walioko US ambao wanatoa hoja kupitia blog ni US bloggers. Wakati huo huo kuna mdau amejipatia umaarufu globuni kwa kujiita US blogger. Je, ni halali mtu kujipa hakimiliki ya kuwa US blogger? Ina maana nikianza kujiita Mtanzania globuni basi wengine wasijiite Watanzania?
ReplyDeleteKwa upande mwingine, wasanii maarufu kama R. Kelly wanafahamika kwa majina yao. Je, kama jina langu ni Richard Kelly siwezi tena kuwa R. Kelly kwa sababu ya umaarufu wa Robert Kelly aka R. Kelly?
The other bloger doesnt even know the language.
ReplyDeleteUS BLOGGER, ACHA UBABAISHAJI. WEWE MWENYEWE MHUNI, HUTAKI KUJIANDIKA JINA LAKO KAMILI, KWANINI WASIKUFANYIE UHUNI KAMA HUO? WEWE MWENYEWE MHUNI, HALAFU UNABAKI KULALAMIKA TU.. WASOMI UCHWARA NDIO NYIE MNAOGOPA HATA KUJITAJA MAJINA YENU. NENDA ZAKO HUKO, USITUBABAISHE HAPA...
ReplyDeletehello ndugu "US Blogger" ninafikiri ulisoma hiyo habari ukiwa umechoka. huyu ndugu amejitambulisha mwanzo kama DR US Blogger na kusaini mwishoni mwa makala yake kama "DR US-Blogger PhD", utambulisho ambao ni tofauti kabisa na wa kwako!!
ReplyDeleteUS BLOGGERS HUNA HAJA YA KULALAMA WEWE UNAPASIKA KUACHA KUTOA KASHFA KWENYE HII BLOG WAKATI WANAUME WANATOA COMMENTS ZAO KUHUSU HII NCHI YETU, KAMA KINA MASHAKA, SHAYO NA MIMI. USILALAMIKE WAKATI WEWE MWENYEWE UNAPOTEZA MUDA MWINGI KUTUPINGA SISI TUNAOJARIBU KUELEZA UKWELI WA MAMBO.KIKULACHO KINGUONI MWAKO.....!MICHUZI SIYO FRESH KILA COMMENTS ZANGU UNAZIBANIA AMA KWA SABABU MIMI NI MSOMI KULIKO WEWE? NIMEMALIZA MUROGORO MUZUMBE CHOO KIKUU NA HIGH EDUCATION NIMEMALIZA MBAGALA ST. ANTONY HIGH SCHOOL.
ReplyDeleteWewe unajiita US Blogger na yeye amesema ni Dr. US Blogger.
ReplyDeleteWote mna akili sawa za kujificha, usitake kujiona wewe mjanja kwa kuwahi jina ambalo kila mtu ana uhuru wa kulitumia.
Una hakika gani kwamba anakujua?
Yeye amesema ana Ph.D ya Oxford, wewe unayo?
Ishia zako kule.
safi sana Peter Nalitolela nilikuwa najiuliza umepotelea wapi wakati wote huuu. I give you thumb up nalitolella napenda sana kusoma comment zako ni kweli labda swahiba yetu michuzi anakubania lakini angalia na comment zako zisijae sana matusi...safi sana Peter
ReplyDeleteWewe anonymous wacha ushamba. Kutoandika jina sio uhuni. Kanuni za blogi duniani zinaruhusu utumiaji wa jina hasili na pia zinaruhusu jina la blogi.
ReplyDeleteUkweli wa mambo ni kwamba 'Dr US Blogger' alichanganya watu na 'Us Blogger' amefanya la maana kuweka bayana kwamba huyo ni mchangiaji mwingine.
ReplyDeleteUS Blogger hana kosa.
Hata Dr. US Blogger akiendelea kutumia hilo jina sioni kosa kuanzia sasa kwenda mbele kwa sababu yeye anajulikana kwamba ni 'dr'-msomi wa Oxford.
I am a US bloger too. I read and write blogs from USA. Just like there so many John, David, jackson in the world. But if dr. Us bloger contents were stolen and used on another us bloger, then he can complain. Otherwise, anybody can became usbloger even if they don't live in US, but have love for USA. If you're a fan of LA lakers, Kobe, Thabiti, Obama, NY your on US side.
ReplyDeleteUS Blogger has become a household name, sasa linagombaniwa.
ReplyDeletehahahaha
SHULE YA WAPI HIYO WEWE UMESOMA, MAJINA YA WATU HAYANA HATI MILIKI, MIMI NAWEZA KUITWA ALLY JUMA NA MWINGINE AKAITWA ALLY JUMA NA SIWEZI KUMHUKULIA HATUA YOYOTE ILE, SO KAMA US BLOGGER NI JINA LA MTU BASI MWINGINE ANAWEZA KUITWA US BLOGGER PIA, SO STOP NONSENSE UTOPIA, JINA SI MALI YAKO NA SI MALI YA MTU, UTUMBO ULE ULIANDIKE WEWE MWENYEWE.
ReplyDeleteso what ina maana jk jakaya kikwete jk julius kambarage hapo vp? acha kushoboka unajiona mbunifu enhee acha hizo yako ni us blogger yangu ndo hii
ReplyDeletemdauz usa blogger
Nyinyi munaoleta hoja ya hatimiliki wacheni ushamba.
ReplyDeleteMimi sikusema 'Dr. US Blogger' amekiuka sheria za hati miliki na hakuna hata sehemu moja niliyotumia neno copyright ama haki ya kisheria, nimesema kwa kufanya hivyo Dr. US Blogger ameleta 'unnecessary chaos and confusion'.
Confusion kweli imetokea kwa sababu wapo waliochangia mada ya ya 'Dr US Blogger' na kumu address 'US Blogger'.
Kama lugha niliyotumia hamuiwezi bora mukawinde njiwa badala ya kuleta madai ya kwamba nime claim hatimiliki.
(US Blogger)
original
chukua time kule na us blgger hapa basi badili iwe mmatumbi blogger ala! hukui???
ReplyDelete