

Tanzania is abuzz with excitement following reports that Hasheem Thabeet is expected to touch down in Dar es salaam this weekend for a short vacation, several months after the 7-3 feet basketball star clinched a lucrative NBA contract with The Memphis Grizzlies.
Hasheem told this Blog thru email that he will be coming with his young brother Akbar to visit young sister Sham and mother. His mum has just returned home from the US, where she had gone to be with Hasheem on every inch of the way to NBA stardom.
Secretary of the Tanzania Basketball Federation Lawrence Cheyo confirmed the news, saying TBF are stitching together a welcome home bash for Hasheem.
But the US Embassy in Dar es salaam seems to have beaten TBF with a slam dunk - they are hosting a welcome reception for Hasheem on Monday August 17, 2009, reliable sources have confirmed. Entrance by invitation only!!!
Hasheem's home-coming is the first- of- its- kind event ever to happen to Tanzania. Well, he is the first professional player of any game to hit it big out there. His home coming is expecxted to be inspirational to all athletes.
Great job Hasheem...Wish you all the best and please make Tanzania proud, mambo ya scandal waaachie akina MICHAEL V please .we focus kwenya NBA and of cource get that mulla babe!!!
ReplyDeleteGod bless TZ & it's people
ebwana eeeh mchizi wetu safari njema fagilia babake umesha yatoa maisha kilicho baki juhudi mbele usahau kabisa ustar wako we are proud of you
ReplyDeletepowa mbongo mwenza toka sauzi cape town
Mnnh?! US Embassy wanahost a welcome reception for Hasheem? Mtanzania anarusi likizo nyumbani na umaarufu wake halafu ubalozi wa Marekani ndio wa kwanza kumfanyia pati!! Najiuliza ni nini interest yao? Najua walimpa visa na kumsupport na nini, lakini ...!
ReplyDeleteHongera Hasheem usijisahau uwe makini NBA si lele mama.Inataka discipline ya hali ya juu.Na uache kujisikia wewe unaishi mbinguni wabongo tunakumind ucelebrity usikuingie kichwani mno.Ingawa tunakubali wewe ni kijana wetu na celebrity wetu na tunakuenzi kwa hiyo uwe mfano bora.Mdau DC
ReplyDeleteHasheem wewe ni role medel wa vijana wote wa kiTZ waishio nje ya nchi yetu, pls pls bro pepea bendera yetu kwa uaminifu mkubwa. mafanikio yako ni mafanikio ya vijana wa TZ (kifikra), we are all proud of you and you make us be proud of Tanzanians! Mungu akubariki kaka na uwe mfano bora kwa watu wote.
ReplyDeleteMICHUZI KUNA KIJANA MMOJA NILIMUONE KWENYE BLOG FULANI YA TANZANIA ALIKUWA AMEPIGA PICHA NA WANAWAKE WAWILI FULANI HIVI WA SALOON HAPO CITY CENTRE NI MRAFU KULIKO HASHEEM THABEET, YULE KIJANA TAFADHALI MTAFUTE NA MPELEKE HAPO UBALOZI WA U.S.A. ATAPEWE TIKETI YA KURUKA MAJUU NA KUJIUNGA NA CHUO NA ATAFUNDIHWA KUCHEZA BASKETBALL KAMA HASHEEM, NILIULIIA KWA EMAIL UBALOZI NA KUAMBIWA NIMPELEKE NAMI NIKO MBALI SIKUWEZA, PIA NILIULIZIA COLLEGE HUKU MAJUU WAKASEMA NIWAPELEKEE CONTACT ZAKE WANAMTAKA, TAFADHALI SANA MPLEKE UBALOZI TOA TANGAO KWENYE MAGEZETI NA RADIO, TV ATAJITOKEZA TAFADHALI, NIMESAHU BLOG YENYEWE LAKINI NI YA HAPO DAR NI MRE KICHIZI NI KULIKO HASHEEM
ReplyDeleteUSHAHURI KIDOGO NAKUPA NDUGU YANGU, MTANZANIA MWENZANGU..NA KUOMBA USISAHAU ULIKO TOKA-USIJISAHAU, TUNZA HESHIMA YAKO NA YA WATANZANIA WOOTE, MATERIAL THINGS VISIKUBADILISHE, NA UHESHIMU KINA DADA UWE NA GIRLFRIEND MMOJA NA UMWESHIMU SANA, MAMBO YA BLA, BLA USIWE NAYO MAAN NBA VIJANA WENGI WANA BLA,BLA NYINGII SANA NA PIA MARAFIKI WA KIPUUZI WASIO NA MWELEKEO WA BUSARA NA MAADILI YA USAWA WACHANA NAO WATAKUSHUSHIA HADHI..GOOD LUCK AND GOD BLESS YOU KIJANA WETU. ASANTE SANA.
ReplyDeleteBilionea wa kwanza halali Tanzania....bila ufisadi, dhuluma yoyote. Ila inabidi kufanyia kazi area ya ufungaji...kwa ushauri zaidi, fanya mazoezi ya kutumia ubao (board) maana wakina Tim Duncan wanafaidi NBA kwa kutumia vizuri Board tu!
ReplyDeletebillionea????sina chuki but i believe we are on millionea level
ReplyDeleteall the best HT....Can't wait for your new nick name from Charles B,Ken. and Ross
Hapo picha ya chini uliyoshika mipira miwili mdogo wangu Hasheem, umevaa kama Grandad wa kwenye BOONDOCKS....HAHAHAHAHAHA
ReplyDeleteBIG UP BOI!!!!
anony wa Aug 12, 09:20 nayesema Hasheem yupo kwenye millionea level karudie tena usome kiwango anacholipwa halafu fananisha na hizo hela za mamilionea wa kibongo uone tofauti..!! Msipende kuweka comment bila kuwa na uhakika wa mnayoyasema..!!
ReplyDeleteHongera sana Hasheem keep ur head up na kitu nilichogundua ni kwamba hata image yako kwenye hizi picha imeanza kubadilika a very good thing japokuwa kuna mdau anaona unaonekana kama anavyodai boonie grandpa..but thats where its at right now the clean cut image..kweli taste zinatofautiana sijui yeye alitakaje but thats the first thing i noticed and was impressed keep it up, thats the way it goes now, all the best kaka kweli the first tz legit billionaire cash converted to tshs that is...
ReplyDelete