akiwa vekesheni hapa bongo nyota wa mpira wa kikapu hasheem thabeet ana usafiri na ulinzi maalumu. leo asubuhi alikuwa katika mahojiano katika kipindi cha michezo cha kila jumatano cha radio one kinachoandaliwa na mtangazaji jezi namba tisa mgongoni maulidi baraka wa kitenge. pamoja na mambo mengine hasheem ametoa wito wa wachezaji wa kila mchezo wawe na chama chao cha kutetea maslahi yao
akiwa vekesheni hapa bongo nyota wa mpira wa kikapu hasheem thabeet ana usafiri na ulinzi maalumu. leo asubuhi alikuwa katika mahojiano katika kipindi cha michezo cha kila jumatano cha radio one kinachoandaliwa na mtangazaji jezi namba tisa mgongoni maulidi baraka wa kitenge. pamoja na mambo mengine hasheem ametoa wito wa wachezaji wa kila mchezo wawe na chama chao cha kutetea maslahi yao

Naomba mnitoe ushamba wadau: mbona mimi huwa eti nasikia walinzi (bodyguard)huwa wanatakiwa wawe warefu juuuu zaidi ili waone na ikibidi wakinge kama silaha yaani wa take cover asidhurike, sasa hawa watafanyaje technically jamani???? kwa sababu mimi naona hapa mlindwa yuko hewani zaidi zaidi au sijaelewa mada?
ReplyDeleteKwa kweli hawa walinzi wana kazi ngumu sana. kumlinda mtu mrefu hivi si kuwatafuta lawama maana wa kwanza kutunguliwa atakuwa mwenyewe.
ReplyDeleteHao sio walinzi/bodyguards. Hao ni wapambe
ReplyDeleteHeee makubwa jamani..........kwanini alindwe? Kfnabo
ReplyDeleteMweee..kazi kweli kweli kuchangia humu maana hizi lugha loh! mlisema ana ULINZI MAALUMU sasa kumbe mlimaanisha WAPAMBE, huko mtaa mwingine kuna mjadala juu ya WAALIMU ama WALIMU hivi kabla hujatoa mada inabidi utoe tafsiri halisi ya misamiati unayoitumia ili tuelewe jamani jamani
ReplyDeleteKwi kwi kwi kwi, nakubaliana na anony wa 11:33:00 AM kuwa hao ni WAPAMBE and not otherwise!
ReplyDeletehao ni walinzi sema leo nao wamevaa kijanki kwani zile suti watatia aibu kumlinda celebrity na misuti ile, ukitakaugomvi waambie wachomekee mashati
ReplyDeleteSasa Limousine liko wapi au ndo hako ka RVA4?
ReplyDeletehata mimi naona hao ni wapambe tu , huwa hawakoseni watu wa kazi hizo.
ReplyDeleteBaadhi ya wabongo bwana wako materialistic sana. Sasa mwezako atapata zaidi ya dola millioni 7.7 kwa miaka mitatu ijayo. Wewe unakisaga kiLove4. Labda jamaa yeye ataki kujishoo kama baadhi ya watu. Yaani Tz maskinilakini watu wanajishoo sana!!!
ReplyDeletemsiwe wabishi, kuanzia gari na hata hao jamaa ni wa usalama waangalieni kama kuna siku atakuwa hayuko nao au ukute wamechomekea mashati
ReplyDeleteFrom Cute to cuter.....pesa sabuni ya roho jamani ...hapo hata hajaanza ligi....uwiiiiiiiiiiii...sorry you're just too young for me right now and ain't a cougar but mhhhh I love tall tall
ReplyDeleteAnony 9:45:00 PM....inaonekana wewe ni kicheche sana japo ni mtu mzima..........pole sana komaa na jamaa yako dwarf.By mdau Kafanabo
ReplyDeleteNon sense watu mnapenda tu kuosha vinywa he has money na keshaenda mbali mwacheni aishi anavyotaka. Wacha pesa imtunze sio yeye aitunze. Binadamu mnapendwa mpendezwe punguzeni maneno
ReplyDeleteyan ni kweli anym. wa 9.04.
ReplyDeletewabongo majungu 2.
hashi baba liv yo lyf,