nizar na wenzie wakishsangiliwa baada ya kumtungua mtu
nizar akinyanyasa
akitawala kiuongoni
keshalizwa mtu kaka nanihii hebu ikiwezekani zirushe picha hizi za Nizar Khalfan akitutoa kimasomaso huko ughaibuni katika mechi ya Vancouver White Caps na Miami Picasa ambapo timu ya kina Nizar ilishinda na yeye alichangia sana ushindi huo. Naamini kabisa kuna baadhi ya wadau wa hili libeneke wangependa kabisa kuziona ili wapate kufarijika!!
Mdau DM



kwakweli picha ya mwisho ukilinganisha hao jamaa wawili ni wazi kuwa nizar lishe ni duni sana tena sana a.k.a msuli,bado kuna vumbi jingi kwenye mapafu
ReplyDeleteBravo Mdau! Usichoke kutuletea majamboz kama haya,
ReplyDeletekumbe ndo maana whitecaps walifungwa bongo, jamani hawajazoea kuchezea uwanja mkubwa kama wetu,cheki kiuwanja chao utafikiri mashabiki waangalia draft au bao?
ReplyDeleteotherwise Nizar na Nadir big up sana jitahidi japo timu zenu za bongo zimeibiwa,mtauzwaje kwa sh usd8,000? hata kama hatuna maproo wengi,hii haimaanishi kuwa sisi mambumbumbu.
wakatabahu.
bodi fremu ya Nizar Khalfani ni kama ya Peter Crouch wa Portsmouth / Lennon wa Tottenham Hotspurs.
ReplyDeleteKwa vile Khalfani ame-'pass' medical, maana yake yuko fiti bila kujali bodi fremu yake.
Mdau ubarikiwe. Picha nzuri sana umetuletea. Tumefarijika.
ReplyDeleteanon wa kwanza jaribu kuwa a bit positive man!
ReplyDeleteBaab kubwa, inaleta raha mno. Kila la kheri, na mfungo mwema.
ReplyDeleteMdau Boston
Wadau...
ReplyDeleteHuu ni mwanzo mzuri, Katika ramani ya michezo na sisi tupo... Hashim, NIzar, kuna yule aliyekula scholarship ya tenis,henry joseph, anyway tuongeze juhudi na pia hawa waliotoka watuentice sisi tulioko huku.....
Ni hayo tu
nyie mliopo huko mnafanya nini? kuosha vyombo kwnye nyumba za wazungu?
ReplyDeletekazi ni kazi hata bongo unaweza ukaosha vyombo kwenye nyumba ya mswahili mwenzako na matusi juu acheni kashfa kama ulinyimwa viza kakojoe ulale
ReplyDelete