--------------------------------
Hasheem Thabeet takes time out to spend the afternoon playing with children at the Uhuru Primary School in Dar es salaam to encourage them to play basketball
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kaka tumeona juhudi zako katika kuhamasisha mchezo wa basketi hapo bongo Mungu akubariki sana upate mafanikio zaidi katika nba ila inabidi ukaze msuli mkuu
ReplyDeleteUbarikiwe Hasheem. Big up.
ReplyDeleteMDAU MWENYE DATA PLZZZZZZZZZZZZZ, HUYU HASHEEM SI NI YULE ALIYESOMA O-LEVEL MAKONGO SECONDARY????
ReplyDeleteI have a lot of respect for Hasheem after seeing this picture. It is imperative to understand that we are talking about a guy, who is young, talented, and VERY soon will become a multi billionaire, in Tanzania's standard, taking time out of his busy schedule to play around with less fortunate kids in the dirt. That action by itself says a lot about the kind of person he is and more importantly the way he was nurtured.
ReplyDeleteHasheem understands the importance of giving back to the community that raises him, and that is the reason he empowered those kids by exercising with them. Surely, Hasheem ought to be commended not only for what he has accomplished so far but also for his deeds to our community. Consequently, many kids in Tanzania today will be saying I want to be like Hasheem.
Truly, Hasheem embodies what can be achieved through hard work, determination and commitment. My fellow Blog ya jamii’s members, instead of tearing this guy apart; let’s wish him all the best in his future endeavor.
MDAU WA KITANGALI
natamani kuguona nigupige picha (gududu gwake)teh! teh! teh!
ReplyDeleteLete hizo culture diffusion ndani Bongo.
ReplyDeleteWe anon wa sat aug 23, 12;13 am hujatulia hata kidogo! ila nimecheka sana.Well all the best Hasheem.Mwenyezi mungu akulinde na kukuongezea zaidi.
ReplyDeletehasheem nakupa big up kwani unatuwakilisha vyema watanzania huku marekanimzungu akikuuliza unatokea nchi gani ukijibu tanzania hawajui ila ukisema nchi ya hasheem wanakupata kwa urahisi zaidi
ReplyDeletejamaa(mdau wa kitangali) anasema billionaire jaman mjue huku kuna kitu kinaitwa tax sio kama kwetu bongo ni lazima ulipe hiyo sehemu ya mshahara wako kwa mfano kwa hela kama hiyo unabid ulipe 65% sio kama zote ni za kwake
ReplyDeleteSafi sana Hasheem.... ila Insurance ya Glizzers ina-cover hapo?
ReplyDelete