Home
Unlabelled
RAMADHANI NJEMA WADAU WOTE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inshalla mwenyezi mungu atupe nguvu,afya na imani ili tuweze kukamilisha mwezi huu salama na funga zetu ziwe ni zenye kuswihi,nawatakieni waislam wote ulimewenguni swaum njema na mimi pia,RAMADHAN KAREEM
ReplyDeleteameen, Allah atakabal swaum zetu na atujaalie tufuzu katika ibada hii.
ReplyDeleteRamadhan Kareem.
Ramadhani ikiwa njema kwa wale waitimizao (sote waIslamu, waKristo, waHindu, waYahudi na wengine) ina maana ULIMWENGU MZIMA UTAKUWA MWEMA. Tukizingatia yafundishwayo katika mwezi huu mtukufu (ambayo hayana mipaka ya kidini) tutatambua kuwa ndivyo tunavyotakiwa kuishi miaka yote na nyakati zote.
ReplyDeleteKama ulimwengu ungeamua kuufanya mwezi huu uanzao sasa kuwa wa mabadiliko, ama kuamua kufanya haya mema yafundishwayo katika miezi mitukufu kama hii kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku, TUSINGELIA TULIAVYO KWA MATUSI, KEJELI, WIZI, UBAKAJI, UFISADI, MAUAJI, VITA, MATABAKA, MAKABILA, RUSHWA nk.
RAMADHANI NJEMA KWA ULIMWENGU MZIMA