JK akikata utepe kufungua barabara ya Masasi hadi Mangaka Mkoa wa Mtwara. Shoto ni Waziri wa Miundombinu Dr.Shukuru Kawambwa na kulia ni Mwakilishi wa Balozi wa JapanSuichiro Kawaguchi. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HONGERA MWENYEKITI,
    CCM YAENDELEA KUTEKELEZA ILANI YAKE YA UCHAGUZI KWA WATANZANIA WOTE.

    MH. RAIS, ENDELEA PIA KUONGOZA SERIKALI ITEKELEZE MAJUKUMU YAKE KWA KUONGEZA KASI SAWIA NA UBORA WA VIWANGO VYA HUDUMA YA UMMA.

    NASI WANANCHI,
    TUISAIDIE SERIKALI KWA KUTOA TAARIFA SAHIHI NA MUHIMU JUU YA KERO ZETU NA TUWAJIBIKE KIKAMILIFU KWENYE MAJUKUMU TUNAYOPEWA ILI TUWE NA NGUVU YA KUIONGOZA SERIKALI. SERIKALI NI WATU..

    MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    MAINA ANG'IELA OWINO.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI EBU TUONYESHE HIYO BARABARA NI YA KIWANGO CHA LAMI AU KOKOTO TU MVUA KIJA BASI TUNARUDI SQUARE ONE, SHOW US THE ROAD, WE WANNA SEE IT IF IT IS A TARMAC ONE

    ReplyDelete
  3. MADAU WA KIGOMA UJIJIAugust 22, 2009

    sijui sisi kigoma zamu yetu lini? hatuna umeme,maji, wala barara.sijui serikali inampango gani na sisi, tumesahaulika kabisa, tukumbukwe. tunamuomba Rais afanye ziara mkoa wa kigoma aone hali halisi, mana huku hataki kuja kabisa kama sisi sio WATANZANIA!! just imagine kucharge simu hapa UJIJI kwa wenye generator ni Sh 300,kucharge tu! any way.

    ReplyDelete
  4. BARABARA HII YENYE KUFADHILIWA NA JAPANA GHARAMA YAKE NI BILIONI 15 KWA KILOMETA 17(BARA BARA YA LAMI) KULINGANA NA DAILY NEWS YA LEO,
    BARA BARA YA KUMALIZIA KILOMETA 16 ZA DODOMA MANYONI GHARAMA YAKE BILIONI 32!!!(BARABARA YA LAMI)

    BABA KIKWETE ANGALIA HAPO KWA MAKINI!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...