Home
Unlabelled
john mashaka ndani ya nyumba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Is he not getting difficulities on his way through communicating with Tanzanians? because what I know the man is not able to speak swahili.
ReplyDeleteNawakilisha Kaka Michuzi niwekee ubaoni hiyo.
Mashaka, hapo Bongo siku hizi kuna winter? Mbona nguo za baridi hizo?
ReplyDeleteJovinata
kaka mashaka karibu bongo uone mambo yalivyo ukiandika ujuwe unaandika nini pitia wizara zetu na tasisi mbalimbali uone mambo yalivyo kaka. suti nzuri lakini joto vipi bongo
ReplyDeleteKaribu sana bwana!
ReplyDeleteI have got a few points to make: You have written a lot of articles regarding economic development in Tanzania, the crisis, corruption, you name it, and how to tackle the problems we are facing, now the question is: are you going to speak to those in the government who in one way or another will be dancing the same tune as you, this is due to the fact that the majority of people who have been reading these articles are not in a position to make a difference.
The second point is why do you always write your articles in english, i know it is difficult to write in swahili because some words do not exist or there is no translation in swahili, but so many times people have been crying asking you to write article in swahili? Always, the solution has been for the us blogger to try to interpret on your behalf? At some point due to the quickness of the us blogger to jump for help, it prompted me to think that you and the same person calling himself/herself us blogger!! how come us blogger is not coming out!
The third point is just to say enjoy your vacation!
subiria waosha vinywa!
P.E.D
John mashaka kumber nunda. Ila Dar Joto kali unaweza kosa pumzi. Fulanazz ndani ya Nyumba!!! Duh kweli hiyo fulanazz ya jamii..lol
ReplyDeleteSema Michuzi,
ReplyDeleteMi nina ushauri wa kutafuta neno mbadala wa blogging kwa kiswahili unaonaje tukitumia chuzisha yaani kama kuukubali mchango wako kwenye fani hii.
chuzi=blog
chuzisha=blogging
nimechuzisha=blogged
nitachuzisha=i will blog
Naomba uiweke hii wadau waichangie hili juu ya kuboreshja lugha yetu
-al
jamani kumbe john mashaka ni mdogo wake michuzi wa damu kabisa! leo nimeshangaa sana baada ya kupata nyeti hiyo.
ReplyDeleteHongera sana michuzi mdogo wako anajituma kama wewe.
he hivi ni kweli ehe sikujuwa kuwa michuzi ni mtu wa bara nilizani mmatumbi ndiyo maana safari za mwanza hazimuishi
ReplyDeleteKanumba kweli ni msukuma halisi.Hiyp dress code yake mie hoi jamani.rangi ngapi??
ReplyDeletemwanaharakati? harakati zipi?
ReplyDeleteNaona hapo Michu unatuchokoza na Fulanaz tena. Naomba uinadi hiyo t-shirt. Naku challenge $ 20 uache kuivaa.
ReplyDeleteIs it me or John Ze Mashaka anaanza kuzeeka ?
Mdau Mashaka nae atakaribishwa na JK Nyumba Kuu...au yeye sio mshikaji wake??
ReplyDeletehiyo suti ya vipande vitatu jamani!!! ndugu mashaka aliondoka bongo lini? je ni msukuma au mhaya au mjaluo!!!! nawe michuzi huwezi kummegea ushauri kidogo kama anapenda suti akavaa kama ile JK!!!
ReplyDeleteHizi fasheni jamani! Kanumba huo mtandio shingoni mhhh! Kwa fashion kama hiyo mie ntabakia mlugha lugha daima.
ReplyDeleteKumbe mashaka ni andunje ama kawawa gubika kombe lol !!
ReplyDeleteNaona mkuu michuzi na wewe umepewa onyo na halmashauri kuu ya ccm nini? Sasa nini kunibania maoni yangu au umehongwa nini?
ReplyDeleteMICHUZI KIATU CHAKO MBELE SIJUI UMEKISHONA AU VUMBI?
ReplyDeletesio chuki lakini naomba mtu amsaidie kaka kanumba jinsi ya kuvaa kwa mwili wake unavoozidi kuwa mkubwa na anavyovaa kama kioo cha jamii haviendani
ReplyDeleteHao wanacheza mchezo wa kuigiza jamani,hamuoni mwingine kavaa mtandio(sijui scalf,atajaza mwenyewe) na mwingine ndio hiyo fulanaz ya elfu 1 mia 5.
ReplyDeleteKweli bongo tambarare hadi kumekua na winter msimu huu! Huku majuu saa hizi ni summer,hawavai hizo 3 pieces sababu ya joto.
fasheni nyingine utadhani krisimasi trii kwani lazima kila fasheni uige? hiyo kitambaa kijani kofia utajiju juu hadi chini hakuna usjirikiano ati star! hayo maigizo ndo mnayaita movie basi mnajiona mko holiwudi enhe mnajiona mshakuwa kina samuel l jackson he hee mtaishia kupayuka tuu na sinema zenu zisizokuwa na mvuto! mashaka karibu hh ila suti mh acha tu nakubaliana na mdau sio woote kiinglish kinapanda tunakushihi uandikege na kiswahili pliiz sababu kuna watu wengine wanauwezo wa kujibu hoja kwa makini tatizo ni hapo kwenye ngeli huwa panaboa saaana kama kinyamwezi hakipandi we acha tu enjoy vekesheni
ReplyDeleteKama chuzi=blog basi
ReplyDeletemichuzi=blogs nayo tuikubali
michuzi asante kwa blog yako nzuri inayotupa habari za kila nyanja hapo home,naona ze fulana imechuja,au umefulia?nikipata mtu anakuja bongo ntakuletea ze fulana kama hizo za kila rangi.
ReplyDelete