






Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ni mapokezi mazuri. lakini jamani mawaziri wetu hawana watu wa kuwashauri kuwa kwenye tukio kama hili hapakuwepo na haja ya kujifunga kitanzi shingoni!! au jk anawalazimisha kuvaa suti 24/7?
ReplyDeletekuuliza si ujinga. Hivi kweli naibu waziri hana kazi muhimu za kiwizara na kiserikali za kufanya zaidi ya kumpokea thabit? Ni kweli thabit ni nyota kwa taifa na najivunia mafanikio yake na uwakilishi wake katika mpira wa kikapu lakini kiitifaki sioni kama ana hadhi ya kupokelewa kiserikali.
ReplyDeletePoleni waandishi wa habari kwa kunyoosha mikono. Jamaa ni mrefu na sio kawaida jamani loh
ReplyDeleteHongera sana Hasheem kwa hapo ulipofika! Ni matumaini yangu kwamba utatuwakilisha vizuri huko nyumbani Tanzania,USA na ulimwenguni kwa ujumla! Inatia moyo kuona kwamba waTanzania wenzetu wamejitokeza kwa wingi kuja kukupokea na kukupongeza. Keep it up Bro! The future is bright....
ReplyDeleteRungwe Jr.
Santa Barbara, CA
HUU NI UTOVU WA NIDHAMU KABISA. HAUJACHEZA HATA GAME MOJA YA NBAN UMEISHAANZA KUONYESHA DHARAU.
ReplyDeleteUNAPOKELEWA NA WAZIRI WA NCHI, NGOMA ZA ZINACHEZWA, NA MASHADA YA MAUA KIBAO, MWENYEWE AMEVAA SANDALA.
WHERE IS YOUR EMPATHY BROTHER? AS A COLLEGE STUDENT SHOULD KNOW BETTER.
OHH!! BY THE WAY I ALMOST FORGOT. CONGRATULATION FOR YOUR SUCCESS.
duuh bro misupu jamaaa tall ile mbaya big up man keep it up to represent east africa!
ReplyDeleteHongera sana ndugu yetu Hasheem.
ReplyDeleteTunamuomba ALLAH azidi kukupa mafanikio.
wewe mama hashim tuliza boli maana hiyo miwani is too much wewe mtu mzima acha mbwembwe za kisichana
ReplyDeleteHuyu jamaa dress code yake ni matatizo yaani waziri kakaa hapo na mtu amevaa kihuni lol
ReplyDeleteafadhali NBA ipate msisimko bongo maana watu wa kiwanja tukiongelea basketball tunonekana mabishoo...washkaji wanakuwa wanamaindi sana kijiweni wanataka uongelee liverpool, man united, real madrid nk. Go Hasheem you got our support!!!
ReplyDeleteHashim una hisa kwenye "Uhuru Clothing" ?
ReplyDeleteDa! Licha ya Hasheem kuvaa Sandals bado miguu ilikuwa inatoa harufu kweli asili asili tuuu (Joking).
ReplyDeleteIla hongera sana kwa kuweza kutuwakilisha Tanzania kwenye angaza za NBA kama ilivyokuwa enzi za Dikembe Mutombo wa DRC Congo.
I admire Hasheem achievements but government official at Airport and dancers !! that is too much and it does not make sense. Let him contribute something meaningful to the society then we can arrange dance and cerebrations . We have Doctors ,Professors, teacher and we do not do this things and pay them well and on time but we are ready for Hasheem that is scandal. How many Tanzanians know the work of Dr Keto Mshingen and his contribution to Tanzanian farmers, very few. Government official kissing Hasheem because he has a good NBA contract, Wow!!!!!!!
ReplyDeleteKaribu bongo. Ila du jamaa mrefu. hawo woteeeee wanaonekana kama mbirikimo.
ReplyDeleteMkulima
WHAT IN GOD NAME IS HE WEARING? REAL HAKUWEZA HATA KUVAA JEANS NA FULANA AU HATA SURUALI TU KAMA HAKUTAKA SUIT. MAN DHARAU MAPEMA MNO.
ReplyDeleteDoes this nig knows how to look professional? look so dummy with that cap and short and whack tshirt..this nig needs to grow up. Also u michuzi need to stop bias...why don't u give other ppl space on ur blog?
ReplyDeletemama ana mtu jamani? nataka kuwa baba wa kambo kipindi hiki cha mafanikio...wadau naomba ushauri.
ReplyDeleteAnon hapo juu hiyo Tshirt ni ya Kina Klothing na sio Uhuru Clothing. Unaweza kuzipata www.kinaklothing.com
ReplyDeletehalafu mimi nadhani kuna watu wana wivu fulani au roho mbaya tu! ndio maana wanaongea maneno yasiyo na maana! Hivi kuna kosa gani mtanzania aliyefanikiwa kufika ngazi ya juu kabisa katika fani yake (NBA) kupokelewa na kiongozi wa serikali? Hivi serikali haina nafasi katika kutambua mafanikio ya raia wake? Je Hasheem sio mfano kwa vijana wengine wengi tu ambao nao wana ndoto za kufika juu katika taaluma zao kama yeye alivyokuwa na ndoto ya kucheza ligi kuu kabisa ya basketball?
Mimi na wabongo wengi wengine tunajivunia kuona mwenzetu amepiga hatua kubwa na kufika hapo alipofikia na tunamwombea mafanikio mema.
Kitu kingine ni kuwa tusisahau kuwa huyu ni mwanamichezo na sidhani kuwa analazimika kuvaa suti kila akisafiri (sikujua kuwa suti ndio nguo ya heshima na ukivaa vinginevyo basi wewe ni mhuni, fikra za kikoloni kweli bado hazijaisha!) Nilidhani fulana na kaptula ni mavazi ya kimichezo au nimekosea?
Ukiwa safarini jambo la muhimu kwako binafsi ni kuwa comfortable hususani safari ndefu kama hiyo aliyotoka Hasheem! Mimi sioni tatizo mtu kuwa comfortable watu wangapi wanasafiri hivyo? Isitoshe suti ina joto sana na nchi yetu ni ya joto, mimi nashangaa zaidi mtu anayevaa suti juani eti kwa sababu kuwa ni "vazi la kiheshima!"
Jamani ni vizuri tukaanza kujivunia watu wetu na huyu ni mtoto wa nyumbani ambaye amefika mbali kwa jasho lake mwenyewe tunashindwa kweli kumpongeza?
Mimi niko radhi kusheherekea mafanikio ya Hasheem kama mtanzania mwenzetu kuliko ya kukaa na kulalamika kwa sababu kavaa nguo za summer wakati ni "more appropriate" zaidi ya suti! Sijui wengine!
- Mmoja wa watanzania walio wengi mwenye kupenda na kusheherekea maendeleo ya watanzania wenzake.
Mkuki
Msimshambulie Hasheem wa watu kwa kuvaa malapa, inawezekana mtu wa watu hakujua kwamba atapokelewa na waziri. Sio kawaida kwa mwanamichezo ambaye hajashinda tuzo au medali kwa ajili ya nchi yake kupokelewa na waziri uwanja wa ndege wa eapoti.
ReplyDeletePamoja na mafanikio yake mkumbuke ni kijana tu kama vijana wengine na atafanya mambo yake kama kijana. Hii imekuwa tuu machi, mwacheni apate vekesheni yake sio kila anakoenda kuna kitu rasmi kwa ajili yake.
Kila la heri Hasheem!
Nyie mnaolalamika kuhusu uvaaji wa Hasheem acheni ushamba. Nyie mpaka leo mkisafiri mnavaa suti. Hayo mambo ya zamani maana enzi hizo kupanda ndege ilikuwa dili.
ReplyDeleteHasheem is a very young man. Nyie mnataka aanze kuvaa kaunda suti au matai shingoni wakati yeye alikuwa anasafiri.
Eniwei, Hasheem hongera sana. Naona Uhuru Clothing wamepata promo ya nguvu.
Waosha vinywa mshaanza huyu jamaa amekuja for a private trip ila kwa vile serikali imezingatia heshime ya mafanikio yake wameamua kutuma ujumbe ila si lazma kuvaa viatu hau suruali au suti kumbukeni he had a over 18 hrs long trip! kwa hiyo acheni longo longo lenu hiyo jioni hapo Kempinski ndo official party he is supposed to dress up executively!
ReplyDeleteBongo walivyo wezi watajaribu kumwibia mshikaji Urefu wake.Subiri mtasikia
ReplyDeletesoksi na malapa?? ama kweli hashim ulijua kuwa watu watakuja kukupokea basi umevaa kama uko tu nyumbani, suti umeshindwa ni joto basi hata track suit iliyoandikwa tz? na pia mie naona ni tu kuchezea pesa manake angeshinda kwanza ndio wangempokea hivi ila contract tu na hata hajacheza tayari na mawaziri akiwa kama KOBE au SHAQUIL?? si ndio JK ataenda kabisa?? not hating but well..
ReplyDeletemdau tunda, kanada.
WOte mnaosema kuhusu Hasheem kuvaa hiyo pensi ni kua, hamja wahi ishi au kukanyaga Marekani, mngekuwa mmeishi huko mngejua kwanini kavaa hivyo.
ReplyDeleteWamarekani wako simple sana hawa jikoki kuvaa kinamna kama mnavyo ona kwnye movies na music video.
Hasheem hapo anarudi Home hakuhitaji kuvaa suti wala kuvaa kanzu, hakua anenda shereheni yenye dress code fulani.
Kuvaa na man hiyo sio uhuni wala sio dharau kwa watu walio USA wanelewa vizuri. Hongera Hasheem
ila huyo mama naona kanenepa sana apunguze kidogo.
jamaa issue zake siyo kabisa hivi anaweza kwenda press conference usa amevaa hivyo yaani inaonyesha shule ilitakiwa amalize na huyo manager wake ni mjinga sana hata hamshauri hii inamaana jamaa ataliwa hela na watu wengi coz hawamwambii ukweli be serious utawekwa benchi ukifanya uzembe ndio kwanza umeanza, onyesha heshima maana mtu kama wewe jina likiwa kubwa timu lazima ikuchezeshe lakini ukifanya uzembe kama wa leo utwekwa benchi.
ReplyDeleteHalauua Kbaruuu!! Waoshavinywa mchaanza kusuuza au sio..sasa huyo Hasheem hakuomba kuchezewa midumange na mawaziri wa nchi kuuhudhuria jamani, kama wenyewe wameamua then thats there problem! ila mtu ukisafiri for about 18-20hrs u must wear comfortable clothing jamani, sasa wewe utasafiri na tai shingoni na lisuti siutakufa kwa kujinyonga masaa yooote hayooo??? Halafu Hasheem ni kijana tu wa miaka midogo so have mercy on a little boy ya'll...give him a break, and first of all yuko vacation (private) sio kiserikali....Ila mama yako ametinga miwani hapo hacheki na kimaaa...!! LOL!! Gooo mamiii mwanao yuko juuuu!! mwaahhh
ReplyDeleteEbana Bongo Kweli Kama Huna Jina Huna Kitu, Uhuru wala Amani ...Hizo Combat Ningevaa Mimi Ningegombewa Na Kuambiwa Ni Za Jeshi hahaha Job True True
ReplyDeleteViongozi wa serikali wanatoa motisha na changamoto kwa wengine ambapo binafsi naona wangekuwapo wengi ikiwamo JK mwenyewe.
ReplyDeleteMafanikio ya dogo Thabiti ni makubwa mno ukiachia mbali bilionz za dola anazolipwa na nyingiine kuzirudisha bongo kwa ujenzi na kuitunza familia yake.
NBA na highest level ya basketball duniani na nafasi ya 2 aliyopata ni kwa dunia nzima kwakuwa yet warefu ni wengi duniani na wanaojua basket pia ni wengi ila efforts zake zimemfikisha hapo.
Dogo alitakiwa kupokelewa kama alivcyopokelewa Bush ama Mandera miaka ile mlipokuwa hamjazaliwa.
Ni figure ya kitaifa inayotambulika duniani na kulitangaza jina la Tanzania duniani
Ni vigumu kwa wewe na mimi kupata nafasi hiyo na hivyo tumpongeze kijana na kumpa sifa na enzi zote anazostahili.
Viatu, suti, shati ni pointless na ni kwakuwa tuna roho mbaya na we a r never positive na hakuna tuna achieve kwenye maisha zaidi ya kuchinga na kuongelea ndala na nguo than who is real Hasheem
Dogo ntakupa dola 1000 kupiga picha nawe tu. U ar da man
Niggas fungeni vinywa
naibu waziri umechemsha.
ReplyDeleteacheni wivu na majungu hizo ni stress tuu vile jamaa kapiga bao ndio alivaa sandals ni maamuzi yake si anakuja vekesheni?? sasa mlitaka avae suti kwani alikuwa anakuja kwenye mkutano ?? ooh dress code nyie ndo mmejua hilo neno jana enhee ? kafanya kusudi kwani mlimwamwambia kutakuwa na ngoma sijui waziri mmejipndekeza wenyewe hajaenda jana marekani na alikuwa anakuja vekesheni kimyaa hata kunguru walikuwa hawaonekani pale eapoti leo juhudi zake zimemfikisha hapo alipo mnaanza kushoboka mtadhani mlimlipia tiketi ya ndege tena business class kazi kukurupuka tuu ng'we ng'we ng'we msiingilie uhuru wa mtu ni supa staa na atafanya anavyotaka na sio mnavyotaka haters wakubwa!!
ReplyDeletekwa kweli sioni kitu cha ajabu ambacho amefanya Hasheem mpaka astahili yote haya ni kwasababu anacheza basketball,kuna wachezaji wangapi wa mpira, Ngumi, Riadha wame enda cheza nje ya nchi na wengine kushinda lakini hawapati hadhi kama hii.
ReplyDeleteSOMO LA BURE mara nyingi ukiwa unasafiri kwa ndege hasa safari ndefu unashauriwa uvae nguo loose, na viatu visiwe tight ili uwe relaxed katika mazingira ya ndege.
ReplyDeleteP DIDDY lazima angeshuka na mavazi ya heshima.huyu dogo analeta dharau,dont tell me kwamba hakujua kwamba airport watu wengi wanamsubiri
ReplyDeletewoote mmeongea lakini anony aliyeulizia kama mama ya hasheem ana mtu ati kama bado yupo yupo atie maguu umeniacha hoi sana na we ndo umeonyesha hisia zako kweli kweli sio hawa wengine wanatoa comments za wivu tuu, kubalkini jamani dogo ndo kesha ingia kwenye channel za pesa tuendelee kumuombea ka mwenyezi Mungu afanye vizuri awapo uwanjani maana atasaidia kuitangaza nchi yetu,, haya wacha mi nikapige box maana nikiangalia porojo za wabantu haopa nachoka kabdaa
ReplyDeleteHasheem hongera kwa mafanikio uliopata. Kaza buti na uwe na discipline ya kazi yako. Kuhusu mavazi nafikiri hakuwa na taarifa kuwa atakuwa na mapokezi ya kiserekali, kwani hata huku Marekani anakotoka, NBA walipitisha sheria ya mavazi kwenye hata press conference baada ya mechi kuwa mchezaji avae profesional and not casual. Hii atakuwa anifahamu ila kama nilivyosema pengine hakujua ukubwa wa mapokezi yake.
ReplyDeleteHao wanaomponda Waziri hawana lolote, Mashujaa kama Hashimu lazima waenziwe, Tunaona hivyo hata huku England, Wananavyowaenzi wanamichezo, kwani huo ndio utaliii na sifa nzuri ya nchi, Kwani maana ya waziri wa michezi nini? akae offisini anafanya nini wakati hao ndio wananmichezi anaofanya nao kazi.
ReplyDeleteWell...Nampa big up waizi na Hashimu,
Mutani Yangwe
TSC Sports Academy.
THIS IS NOT THE MATTER OF THIS GUYS TO GO HOME THE WAY HE LOOK I THINK IS THE ISSUE OF THOSE PEOPLE WHO WARE THERE TO CHEER HIM UP, THE MINISTER AND EVERYONE WHO HAS BEEN BEHIND. THE KID HE NEW TO THE GAME FUNNY ENOUGH HE TRY TO COPY STYLE OF DRESSING DURING NBA GAMES WHICH I THINK HE FORGET THAT, SOMEONE HERE SAY SOMETHING ABOUT DRESSING LOOK DURING LOND JOURNEY IN THE FLIGHT, HERE IS NOT THE CASE. HE KNEW THAT HE WILL RECEIVE SUCH RECEPTION SO THAT HE COULD AT LEAST CHANGE RIGHT BEFOR HE SHOW HIMSELF OUT TO THE PUBLIC.
ReplyDeleteFOR THOSE WHO THINK THIS KIND OF COMMENTS HAS SOMETHING TO DO WITH HATE, THINK AGAIN AS YOU BOTH KNOW, NOT NECESSARY THAT EVERYONE LOOK INTO SUCH THINGS FOR TANZANIAN. AS SOMEONE IN ONE OF THE COMMENTS MENTION ABOUT THE PEOPLE WHO MAKE CONTRIBUTE TO TANZANIA DEVELOPMENT FOR TANZANIAN NOT FOR NBA FOR AMERICAN AND INDIVIDUAL. WHY THOSE PEOPLE ARE NOT HERE TO BE CHEERED OR AT LEAST TO RECEIVE RECOGNITION OF THAT KIND.
NO HATING HERE IS JUST ADDING SOME COMMENTS
Mi bado nawashangaa,,jamaa Hasheem hana suti.kaeni mnajua hana suti.Kwani kuwa namabilioni ndo kuwa na suti?amelowea sana ameshakaa kama wana USA,zao ni boxii tu.Maswala ya suti hayapo hata siku moja.labda viongozi wa serekalini.Kwanza hata mimi siku naingizana huko TZ ni yeboyebo tu na kaptula bila kusahau flanazz.Watu wa Afrika hata kama hana shilingi 100 hana aibu yakuniga suti na badae mlo inakua shidaaaaa.
ReplyDeleteHawa viongozi wetu utasema wamelazimishwa kuvaa suti sasa ngalia kavaa au imemvaa anaonekana kama katuni suruwali kama papa wemba amekaa kama amegandiswha na gundi lol hasheem thank u for coming home.
ReplyDeletehahahah acha tu.Hicho kiinglish hapo juu kimenichekesha sana.
ReplyDeleteDoes it really matter amevaa nini?Ni vizuri kuona kwamba amekumbuka kuja nyumbani..(as he always does)kabla hata hajaaza kazi rasmi....Ametoka safari ndefu...na alivyovaa ndivyo alikujisikia comfy kuvaa.Ndani ya pipa ukifanya mchezo wakuvaa vya kujibana bana waweza toka na DVT(Deep Vein Thrombosis)na ukizingatia urefu wake ule...
ReplyDeleteKwanini hao waliokuja mpokea wasivae casual na si formal...bearing in mind wanaekuja mpokea ni mwana michezo...?Hongera bro.
jamaa sasa ni proffesional basketball player,ana manager na washauri mpaka wa mavazi,yoyote anaesema kuhusu mavazi yake hana upeo wa kuelewa na kufahamu huyu jamaa yupo ktk level ipi sasa duniani,kwahiyo kaeni kimya.hasheem hongera kwa kutukumbuka nyumbani na weka jitihada kuitangaza nchi kama ulivyofanya na mungu atakusaidia.
ReplyDeletemtunze mama na familia yako ndio jukumu ulilonalo si mengine.
Unju...I mean Hashimu, jifunze kuwa na humility na kuvaa vizuri. Nyanya pensi, kandambili na soksi visivyowiana (match) vinakufanya uonekane kama limbukeni. Kumbuka; usiache mbachao (maadili mema) kwa msala upitao (umashuhuri wa ghafla).
ReplyDeleteaNGALIA BEGI LAKO THEY GONA DO MZUNGU
ReplyDeletekwa sasa sandals ndio fasheni ,sipitwe na wakatti,nawakilisha! FASHENI ZA KINUGU!!! hivyo huo ni uboshoo na wala sio usimple. sandals ndio fashion,mtu anavaa jeans nzuri halafu na soksi na sandals, Kumbuka soksi na sandals sio sandals peke yake, ni nimeona huku kiwanja, ni upuuzi mtupu!!
ReplyDeleteBw. Hasheem,
ReplyDeleteJitahidi kartika career yako ili siku moja uje uwe kama Bw Mutombo...
Watch the video on attached link;
http://www.youtube.com/watch?v=mwI_a0aMsII&NR=1
Swala la Hasheem kupokewa na waziri linatia shaka sana kwani huyu waziri wetu hana kazi hebu atupe shedule of duty yake tuone kama kuna kipengele cha kupokea wageni.
ReplyDeleteHalafu Hasheem anapokelewa kitaifa lakini yeye mwenyewe kavaa kihuni hivi kweli kama wewe ni mtumishi wa serikali utaruhusiwa kwenda ofisini kama alivyovaa Hasheem?
Haya matangazo yenu ya nguo yana konektion gani na hasheem kwa ahkbar......au mnaogopa kumpatia hasheem kwani sasa atavaa nguo zenye label maalum na kwa dau maalum....si fulana za kuchovya tena kama zenu.....................KAFANABO
ReplyDeletesijawahi cheka km apa duh!
ReplyDeleteaya acha nizidi kusoma comments za wadau nirefushe maisha...
sasa ilo pozi la waziri picha ya mwisho kashtukizwa au ajiamini?jaman.aya na mama hashimu thabiti sasa?
ngoma za asili?????????????????
samahani "agent behind him" yan mnamanisha nini?
ReplyDeleteWTF???? Hivi why is everybody on his case? Whats wrong with him wearing shorts and trousers? He is not coming for an official visit, he is just on a personal holiday. Hakuomba mje kumpokea na ngoma na vifijo na mawaziri, nyie ndo mliojipendekeza. If it was you coming back home for your holidays, would you wear a suit or a tshirt? Acheni ulimbukeni, sio mgeni rasmi wa kitaifa, na wala hajatumwa na taifa tatizo lenu nini?
ReplyDeleteAJALI JUMA nimekuona mwanangu. Jiniazi wa moshi teki.
ReplyDeleteI don't understand this!
ReplyDeleteThe guy has just come for holiday then why Minister is there at the airport? It doesn’t sound good! Does it?
I think Mr Minister has got some sensitive issues somewhere to deal with so he should use his time and that of the government wisely. Otherwise, Mr Bendera and government would appear to look too cheap in the name of welcoming our 'hero'!
Government is always bigger than anyone but in this case, in my opinion, Mr Thabeet (Thabit [?]) appears to run the show and Mr Bendera follows the wind.
I always give thumb up for those who represent our country positively but a line should be drawn between overwhelmingly putting ‘someone up’ for personal gains and praising our good ambassadors.
I can’t deny that Mr Thabeet has a potential to be good player but nothing should be taken for granted as basketball, just like any sport, has a lot of things before someone established himself as a really superstar; there are lots of challenges to follow than many people think. Mr Thabeet is only at the beginning of a very difficult and complex career and life style, if I may say. So we shouldn’t put too much pressure on his very tender shoulders and obstruct him from realising his dream and that of the country. Overhyping him could affect his development as a sportsman.
And on other side Mr Bendera has to learn something and maintain the protocols that safeguard his position as minister of the concerned ministry.
_____________________
Mzee Wauyagauyaga
Du kuna mtu kaandika kwa English tena herufi kubwa amenifurahisha sana au lada mimi kizungu changu not richabo, maana sentensi anajua mungu, kazi kweli kweli wabeba boxi jifunzeni lugha mkirudi mfanye kazi za hotelini
ReplyDelete