mdau akiwa anapita maeneo ya makambaku huko mkoani iringa alikutana taswira hii ya kusikitisha ambapo lori na tela lake viliteketea kwa moto baada ya kuwaka na hakukuwa na huduma ya zimamoto. inasemekana hakuna aliyeumia ila mali ya mamilioni kibao imekwishney



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huo ndo utajili wa afrika,,,hata uwe na mamiliyoni yaweza kupotea kwa saa moja.
    Pole sana tajili mwenye hiyo loli nawenye mali.Lakini ushauli wa bure muwe wajanja kwa kufanya biashala zenu,muwe mnatumia kuwekeza benki sana.kama huyu hapa anaumia sana.

    ReplyDelete
  2. Mkuu mwenyekiti wa nanihii... hapo ni makambako na sio makambaku, ni kosa watu wengi sana huwa wanalifanya hasa wakati wa kutamta.

    ReplyDelete
  3. Hii mara nyingine inaweza ikawa ni hujuma. madereva wanakwa si waaminifu kwani wengine huwa wanasuka deal a watu wanaiba mizigo ya watu na kuchoma gari moto.Nchi yetu kwa kweli sijui tufanye nini tubadilike

    ReplyDelete
  4. Mkuu Mithupu mbona hii picha imechelewa saaaana.Tuykio hili lilitokea mwezi wa May 2009.
    Ukitaka mimi nita kupost picha mbadala la tukio hili

    ReplyDelete
  5. SINA UHAKIKA SANA LAKINI NADHANI SEHEMU HII ITAKUWA KATI YA MAKAMBAKU NA CHIMALA KWANI SEHEMU HII HUTUMIKA SANA KUCHOMA MALORI. KWA WALE WAPENZI WA VYUMA CHAKAVU BASI WAENDE ENEO HILO.

    ReplyDelete
  6. Dili la Ishuarensi hili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...