Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 24 mpaka sasa

  1. nafikiri ni airport mwanza.......kafanabo

    ReplyDelete
  2. hizo namba ni nini na unit ya N.M ni nini? maana kama ni distance (umbali) TANROADS wana standard zao wanatumia kilometer (km)

    ReplyDelete
  3. baab kubwa.

    ReplyDelete
  4. Wadau tuelimishane,Sasa kwa mfano hiyo Dar Es Salaam 465 N M ndiyo inamaanisha nini? plz

    ReplyDelete
  5. N.M stands for Nautical Miles, for sure Mwanza deserves to be the business central hub of east and central africa. Please our planners wake up

    ReplyDelete
  6. N.M = Nautical Miles

    ReplyDelete
  7. hizo ni neutical miles jamani hamkusoma? 1.NM = 1.6KM

    ReplyDelete
  8. Wadau NM nacho ni kipimo standard kabisa cha urefu kinachotumika na wanaanga au mabaharia. Hiki kina maana ya Nautical Mile. Hii nayo ni imperial measurement lakini isichanganywe na ile tunayoijua ya urefu yaani Mile. 1 Mile ni sawa na approx 1609 metres wakati 1 Neutical Mile ni sawa na approx 1852 metres. Hii ni kwa sababu water waves and air resistances vinasababisha meli au ndege ku-work a little harder to cover the same on land distance ambayo inakuwa favoured by friction between the ground and tires. Samahani kwa kuchanganya lugha lakini nadhani ujumbe umefika vizuri. Plz note, maelezo haya hayajalengwa kwa wataalam na ndo maana lugha iliyotumika ni nyepesi. Kwa anayetaka kuelewa zaidi a-google "Neutical Mile"

    AP Mdau wa GB

    ReplyDelete
  9. N.M ni Neutical Mile ukizidisha mara 1.6 unapata Km..hawa nao kujishaua tu sasa dunia yote inatumia KM.Anyway labda iwe tofauti nadhani.Mgeni akija atatushangaa sana lakini ndio life sio!!

    ReplyDelete
  10. NM inamaanisha Nautical Miles na nikipimo cha umbali kama vile ilivyo KM. Hichi kipimo cha umbali kunanikumbusha zile hesabu sa kidato cha 3 kwenye topic ya "Earth as a Sphere". Uhusiano kati ya NM na KM ni:

    1 nautical miles = 1.85200 kilometers

    Nawasilisha.

    SAMWELI

    ReplyDelete
  11. The nautical mile (symbol M, NM, Nm or nmi) is a unit of length corresponding approximately to one minute of arc of latitude along any meridian. It is a non-SI unit (although accepted for use in the SI by the BIPM) used especially by navigators in the shipping and aviation industries,[1] and also in polar exploration. It is commonly used in international law and treaties, especially regarding the limits of territorial waters. It developed from the sea mile and the related geographical mile.

    ReplyDelete
  12. N.M. means Nautical Miles - unit of length used in the
    old days. Thats an historic sign each big town in TZ
    has one.

    ReplyDelete
  13. Hapo ni Mwanza airpoprt. N.M kirefu chake ni Neutical Miles.

    ReplyDelete
  14. I think inamaanisha Nautical Miles.

    ReplyDelete
  15. why distances in Nautical Miles? is it by air or across the ocean,lake, river ? May be Michuzi you can add more info about the picture.

    Blogger
    Honolulu

    ReplyDelete
  16. NM ni kifupi cha nautical mile kipimo cha umbali kinachotumiwa na wanamaji na wana-anga. Kwa ufupi NM 7 ni sawa na mile 8. NM x 1.15 unapata mile za kawaida.
    Nawasilisha.

    ReplyDelete
  17. Hiyo inamaanisha nautical miles,
    1 n.m. = 1.852 km

    Rwechung
    Trondheim norway

    ReplyDelete
  18. mweeeeee kwetu mwanza,

    michu mbona unakujaga mwz kiaina hutaki wadau wengine tukutafute?

    apo ndo eapoti ya mwanza (banda la uani) yan pananoga kibongo-bongo swaaafi

    no place like mwanza yan hali ya hewa swaaafi utulivuuu upolee

    wimbo maarufu:
    "mwanza oooh mwanzaaa,mwanza mji mzuri ooo mwanza nitarudi mwanzaa,mwanza ntakuja tena ooo"

    ReplyDelete
  19. vibao vya kishamba lkn vimependeza

    ReplyDelete
  20. Lakini jamani nautical miles zinatumika majini, na wala si nchi kavu.

    ReplyDelete
  21. hivyo vipimo inamaana darasani ilikuwa ni sufuri kabisa kutoa comment za ajabu ajabu ni nambari one hesabu zigzag,hivyo ni vipimo vya wanamaji na anga pilots and marine police or sailors use ndani ya maji jamani kumbe ni kujipompas tu party kitchen perty kichwani tumelalia maskio kweli

    ReplyDelete
  22. I love Mwanza like i love women

    ReplyDelete
  23. for those who never gone to Muzumbe university The nautical mile (symbol M, NM, Nm or nmi) is a unit of length corresponding approximately to one minute of arc of latitude along any meridian. It is a non-SI unit (although accepted for use in the SI by the BIPM) used especially by navigators in the shipping and aviation industries,[1] and also in polar exploration. It is commonly used in international law and treaties, especially regarding the limits of territorial waters. It developed from the sea mile and the related geographical mile. got me? or still have any questions?

    ReplyDelete
  24. PETER S NALITOLELAAugust 21, 2009

    The nautical mile was historically defined as a minute of arc along a meridian of the Earth, making a meridian exactly 180×60 = 10,800 historical nautical miles.[3] It can therefore be used for approximate measures on a meridian as change of latitude on a nautical chart. The originally intended definition of the metre as 10-7 of a half-meridian makes the mean historical nautical mile exactly (2 × 107)/10,800 = 1,851.851851… historical metres. Based on the current IUGG meridian of 20,003,931.4585 (standard) metres the mean historical nautical mile is 1,852.216 m.

    The historical definition differs from the length-based standard in that a minute of arc, and hence a nautical mile, is not a constant length at the surface of the Earth but gradually lengthens with increasing distance from the equator, as a corollary of the Earth's oblateness, hence the need for "mean" in the last sentence of the previous paragraph. This length equals about 1,861 metres at the poles and 1,843 metres at the Equator. [10]

    Other nations had different definitions of the nautical mile. This variety in combination with the complexity of angular measure described above along with the intrinsic uncertainty of geodetically derived units mitigated against the extant definitions in favor of a simple unit of pure length. International agreement was achieved in 1929 when the International Extraordinary Hydrographic Conference held in Monaco adopted a definition of one (1) international nautical mile as being equal to 1,852 metres exactly, in excellent agreement (for an integer) with both the above-mentioned values of 1,851.851 historical metres and 1,852.216 standard metres.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...