Home
Unlabelled
kashangae feri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa kweli MV Kigamboni imesaidia sana. Nilikuwa napenda kutembelea fukwe za Kigamboni, lakini kila nikiwaza namna ya kuugawa muda wa fukwe na ferry napata kizunguzungu. Niliwahurumia sana wakazi wa Kigamboni.
ReplyDeleteSasa walau ziwepo mbili kwa huduma hiyo wakati tukisubiri DARAJA.
GJK
kashangae Ferry Shillingi inazama MELI Inaelea.... Pzi.
ReplyDeleteunanikumbusha mbali saaaaaaannnnnaa....na i kushngaa kwa sababu ya feri kutokuwepo au kuwepo pale, bali pia ni lile liharufu linatokea sehemu sehemu pale. Ukishangaa ya Musa....Michu mdogo wangu naomba kutoa dukuduku. MH
ReplyDeletePantoni jipya linaitwa Mv Magogoni na siyo Mv Kigamboni kama mwandishi alivoandika. Pia lina uwezo wa kubeba abiria 2000 na siyo 1000.
ReplyDelete