Mkuu wa Wilaya ya Nanihii,
Mke wa rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama amezidi kuonyesha tofauti yake na wake wa marais waliopita wa Marekani. Michelle amekuwa mke wa kwanza wa rais kuvaa kikaptula na kupanda dege la rais Air Force One.

Obama, mkewe na binti zake walikuwa Arizona katika vakesheni yao binafsi ya kutembelea sehemu mbali mbali za kitalii katika jimbo hilo lakini vyombo vya habari badala ya kushughulika na ziara ya mkuu huyo wa taifa kubwa duniani, walikuwa bize kupata taswira za kikaptula cha mke wa rais.

Vyombo vingi vya habari vya Marekani vimekuwa vikijadili nguo anazovaa Michelle Obama kama zinafaa kuvaliwa na mke wa rais au la huku watu wengine wakitoa maoni kwamba Michelle ni mwanamke kama wanawake wengine hivyo ana haki ya kuvaa atakavyo.
Mdau KB.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 56 mpaka sasa

  1. Sio mbaya kuvaa kikaptula,ila kwa sababu yeye ni world figure,kivazi hicho inabidi akivae akiwa home kwake tu na si kwenye public eyes.

    ReplyDelete
  2. mshikaji mwambie basi jk anaependa kuiga amvalishe mama salma tuone nanihii yake ilivo

    ReplyDelete
  3. Ninawapenda sana first families.Ninaunga mkono sera za Obama na ninamuombea kwa Mungu afanikiwe katika health care reform.Ingawa familia hii inajitahidi sana kuthibitisha kuwa wao ni watu wa kawaida tofauti na waliowatangulia, ninatofautiana kidogo na first lady kuvaa kikaputula.Naelewa kuwa joto lilikuwa ni 106F lakini kikaputula was a way too far.
    Thx

    ReplyDelete
  4. Yes..acha avae apendavyo, huu ni wakati wa sisi washamba kujifunza kuwa tusipende kuwahukumu watu kwa kuangalia mwonekano wa nje. Mara nyingi hao wanaovaa kama tunavyofiki sahahihi mara nyingi ndiyo watu HOVYO sana. Ona sasa hapa tutasema nini? hatuna la kusema kwani kama kitabu kaenda sana, kama mapesa wanayo, kama akili na uwezo wa kazi hapo umefika, kaolewa ana watoto sasa tuna ajenda tena hapa????? VAA MAMA KAMA UNAFIKIRI INACHANGIA KWENYE KASI YA KULETA MAENDELEO NA KAMA MTU ANA HOJA AONYESHE UBINGWA WAKE WA KUVAA VIZURI NA KASI YAKE YA MAENDELEO

    ReplyDelete
  5. Mwacheni demu wa watu apige vibichkoma.
    Usafiri wake unaonyesha angekuwa anapiga boli angekuwa winga machachari sana.

    ReplyDelete
  6. Naelewa Arizona jua lipo karibu na dunia lakini shemeji yangu si unaelewa kuwa kaka ameachiwa majukumu mazito sana na aliyemtangulia.Hebu msaidie basi kumpunguzia unecessary criticism japo kwa kuvaa kikaputula kinachofika magotini wala hutapungukiwa na kitu.Na wewe kaka unaelewa kuwa shemeji ana maumbile ya ki-Liberia.Huo ushepu na kikaputula ni mziki mnene kwa akina michuzi.Hebu ongea na mwenzio siku mojamoja,mvi zinakuja kwa kasi kichwani,shauri yako.

    ReplyDelete
  7. Mdau KB umeitoa nifahamishe.com hiyo

    ReplyDelete
  8. habari zenu wadau wenzangu kuhusu mke wa rahisi wa merekani kweli yeye ni mwanamke kama wengine lakini haipendezi yeye kuvya uchi kama ni mke wa rahisi lazima ajiheshimu kimavazi anavutia mtu akimuona hata wewe binafsi utakuwa unamuheshimu anavyo vya hata huwezi kujuwa ni mke wa rahia au mke wa rahisi maoni yangu asivyae mavazi ambayo hayapendezi kabisa.mdau toronto canada.

    ReplyDelete
  9. kama angekua kwenye back-yard yake anafanya shughuli zake mi nisingemind b'se she has a body for it. But kwenye public trip kama hii it's a big nono. angevaa khakis au jeans kama jamaa hapo.
    Kuna mambo mengine mtu ukishafika umri fulani unatakiwa kuwa makini .I don care kama ni mke wa rais,mmarekani au mtanzania

    ReplyDelete
  10. Hata mimi nasapoti baadhi ya wamarekani kwamba, huyo ni mwanamke kama wake wa watu wengine na kikubwa zaidi hiyo ni VEKESHENI jamani, unataka uvae gauni vekesheni, utachekesha. Yaani hicho kikaptula kiko mahali pake, mbaya kama angevaa akiwa ofisini au wakati wa G20.

    ReplyDelete
  11. You go gal. She is being herself rather than imitating the norms

    ReplyDelete
  12. inapendeza sana lakini nisije sema ikaonekana haina maana kwa sababu mguu anao wa kuvaa nguo fupi ndio maana kavaa

    ReplyDelete
  13. Anything she wears they will talk. The problem is that they can't handle to see a black woman comfortable on her own skin. She was going hiking after all.... can't exactly hike in a formal wear.. good for her.. and ohhh..She got good legs let her show...

    This is not in our culture lets leave like that and we deal with our probleeeems

    ReplyDelete
  14. Wavaa ovyo duniani kote tunashangilia kwa nguvu. Mtu hawi judged kwa mavazi. Watu wengine tunapendela kuwa tu simple kivazi cha kawaida. Unakuta mtu una kisomo chako, account yako inapendeza, jumba limetulia, familia poa, confidence yako unayo halafu unavaa ovyo. Huyu mama ametuwakilisha vyema.

    ReplyDelete
  15. Salaaaale!

    ReplyDelete
  16. Kuvaa kaptula imekuwa nongwa. Je angetoka uchi?

    ReplyDelete
  17. ....change has came to us!kelvin, uk!

    ReplyDelete
  18. TVZ KicartoonAugust 21, 2009

    we anon wa Aug 20, 08:19:00 pm, acha uongo! hicho ndo kivazi cha "vekesheni"?!
    michuzi mbona kila siku anaenda "vekesheni" hatujamuona akivaa kikaptula?!

    ReplyDelete
  19. Tipiko Shaniquaishic ... hana lolote huyu alikua anataka attention tuu , alijua kabisa akishuka namna hiyo kila gazeti, kila tabloit , kila news itakua about herself , toka mwanzo nilijua huyu mama anapenda sifa . kwanza mapaja yenyewe hayo yako fat na bado ana ya sabasabarisha.

    Hii tizo la blackwoman kujifanya mzungu na kupitiliza ,mbaka class inakua haipo tena ..a ghetto chick anapokua Ikulu.

    Haya ndio mata

    ReplyDelete
  20. mimi nawalaumu walio toa picha zao wakiwa vekesheni.jamani wako mapumzikoni lazima wavae watakavo wao badaa ya majukumu kibao.mii naona ni propaganda za hawa makaburu maana wanamaind saana ngozi nyeusi haitaji cream wala nini kune jua kali

    ReplyDelete
  21. Hans MegrahAugust 21, 2009

    Presumably, the place they left for was offensively hot.Though, I find it a bit way too far for a first lady.
    However, "Different ropes for different folks"
    So let Michelle do whatever floats her boat.

    ReplyDelete
  22. jamani huyu mama inapaswa afundishwe dress codes unajua unakuwa public figure like her kuna jinsi ya kuvaa anapaswa kuzingatia hata kama akivaa kaptula, for her pedalpusher ni appropriate na sio hicho kichupi alichovaa! halafu huyu mama anaonyesha ni mjamzito! jamani wakina dada chuinguzeni hiyo picha mtupe uhakika mimi ni mbaba naona ka-Obama Jr kanacheza tumboni mwa Michelle

    ReplyDelete
  23. Looking good lady! u r my favorite women but i think you should wear a little bit longer one, you have big tittle dear, look Oprah the way she dress decent even if she goes vacation. Yes you have beautiful body but keep it for Obama, love you always!!

    ReplyDelete
  24. This is the real change! Hii ni kuonyesha kwamba White house is just a house like other houses! I like the way Obama and the wife the way wanavyo-take life so easy. Wala wanainchi hilo lisiwasumbue kwani sioni kama kuna tatizo lolote kwa yeye kuvaa short. Hilo mbona ni jambo la kawaida na maumbile yake yanaruhusu. Supper mama, Go Michelle! By the way this is how black people we do our things!

    ReplyDelete
  25. With this hot weather, go for it Michelle, huwezi kujitesa ukajibana kwenye maviitenge kama mke wa rais JK bila kujali afya yake, she is in vacation wwith her honey and not on duty so wear even bikini is acceptable and appropriate. Go girl....you are pretty and Mungu amekujalia.Onyesha mama wasikuonee wivu.

    ReplyDelete
  26. Kitu ni kwamba huyu mama umbo lake ni baya halikubali nguo aina yoyote akavaa akapendeza hata iwe ya gharama vipi, ivi nyie umbo lingekuwa linakubali na kuita wote hapa tungemsifia kapendeza na yupo uptodate; mie nafikiri atafutiewe designer special.

    ReplyDelete
  27. PETER S. NALITOLELAAugust 21, 2009

    SASA MUCHUZI MIMI KILICHOBAKI HAPA NI KUJITAFUTIA KAMUCHE KA SABUNI NIMALIZIYE KWA KUTAZAMA HIKI KIPICHA.KESHO MAMA ATAKUJA NA BIKINI KAMA MWEZANGU HUNA MUCHE WA SABUNI UTAMALIZIA HAMU KWENYE BIKINI YAKO TU

    ReplyDelete
  28. Kwanza kabisa naomba nimsahihishe Anonymous Thu 20Aug 07:55:00 wa Toronto Canada. Sijui umesahau kiswahili au pouse nyingi au hujui kiswahili kabisa:- Siyo RAHISI ni RAIS na si RAHIYA ni RAIYA usituharibie lugha hamna slain ya kiswahili. Pili kwe wa Obama anakuja tofauti kwasisi waafrica mila na desturi zetu ni kitu chakigeni na si chaheshima lakini kwa wamarekani ni kitu chakawaida sana.

    ReplyDelete
  29. KAMA CHRISTIAN RONALDO VILE

    ReplyDelete
  30. Kimsingi Mke wa rais kuvaa vikaptura haipendezi ingawaje watu wametofautiana kifikra, lakin ukweli utabakipalepale unavaa kaptura ili iweje? sidhani kama hata marekani wenyewe wanapenda kuona hali hiyo ndio maana wananchi wana ulizana inakuwaje?

    ReplyDelete
  31. jamani lazima muelewe wako mapumzikoni halafu kuvaa mbona hakuna noma je hao wanaojifunika na kufanya mambo ya ushenzi mnawaitaje?let her be free,wakina nanihii waliojifunika hadi magotini mbona walitibanga (princess di..)wengi wanafanya maujinga lakini hamonyeshwi kwahiyo we poa tu.mind u're sheet

    ReplyDelete
  32. Umbo lake linamruhusu kuvaa hivyo....hawa wengine vitambi, makalio makubwa na mahips manene hayawaruhusu kuvaa hivyo..wakivaa hivyo wanachekesha kwasababu ni wanene....tehetehetehe!!

    Moral of story:Fanyeni mazoezi.

    ReplyDelete
  33. nyi nanyi hamnywi maji! muacheni Michelle atese.Wasiofanya mazoezi ole wao!

    ReplyDelete
  34. Nyie Watu Hamna Dogo..lol Juzi Hasheem Kaingia Airport Kavaa Pensi Mkachonga Sana Na Nina Imani Ndio Nyie nyie Mnaochonga Kikampula.Kwa Walio Nje Wanajua Summer Ni Kitu Gani. Ni Jinsi Gani Kila Mtu Anahamu Na Kijua Cha Mienzi Miwili Au Mitatu.Kuna Mtua Kaeleza Kitu Kimoja Sana Ogopeni Chui Waliovaa Ngozi Ya Kondoooo. Jitwinge Shem Muache Bro Ajisikie Ulaini Wa Kupiga Mzigo Atusafishie Jina..Kuvaa Kitu Gani bana????

    ReplyDelete
  35. ni mfano wa kuigwa na wake wa maraisi africa, kazi zao ni mavitenge tu wakati jua kaliiii! vaeni nguo zinazoendana na weather bwana!

    ReplyDelete
  36. kila nchi na utamaduni wake walishazoea vaa vipens toka watoto sasa mlitaka aende vekesheni na vitenge vya morogoro au mabazee? eboh kwa raha zake fest ledi ushuzz haihusu kwenye masuala ya vekesheni na wakitaka kuogelea je ?? wavae magunia ?? acheni unafiki enyi kizazi cha nyoka na mbaddo mtasukutua na muarobaini mwaka huu!!
    mdau
    uwanja wa fisi!!!!!

    ReplyDelete
  37. we annoy unayedai at michuzi akienda vekesheni huwa havai kaptla unachekesha sasa kwani michuzi kakulia wapp?? si mmatumbi huyu? hiyo sio mila yake wabongo wana mila zao hata huku majuu mambo ni yaleyale umbea upo tena kuzidi hm kumaindi minuso kama kawa.. ngono ahhh ndo mahala pake asili jamani ...pembe la nyati oops la ng`ombe
    mdau asali

    ReplyDelete
  38. Sasa naona Obama Afanye mpango wakidume akiwa hapo Ikulu .Yaani ittakuwa imekaa powa sana coz nikiangalia Familia yake naona imepungua kitu vile.Mtoto wa kiume bomba sana.DAVDENKO.

    ReplyDelete
  39. Anon wa frid.21 06:40..please go to school before you start writting ya broken english.It's not your language anyway so next time just use swahili please.Ni hayo tu...and kuhusu kikaptula all I can say is 'watever tickles your fancy'.I ll just leave it at that

    ReplyDelete
  40. POLENI KESHA VAA NA PICHA AMEPIGA SASA SIJUI MAONI YENU YATASOMWA NA NANI UKO WHITE HOUSE!!

    ReplyDelete
  41. oyeeeeeee michelle obama safi be yourself mama n rest of the family
    full kujiachia...mlitaka avae baibui?

    hahahahaa teh teh uwiiiii eti angefaa kuwa winga machachari,duh kumbe ndo flavor ya yanki obama mwanamke athletic body/ooh soryy legs!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  42. "mzee wa pajazzz" uko wapiiii,vipi apo?

    ReplyDelete
  43. mwambienimke wa rais wenu aige kama mumewake

    ReplyDelete
  44. mjombaa humu mbona kelele nyingii.. mbona bado kuna maaeneo tz watu wanatembea uchi hau amjui, si wale wama.. mpaka leo tupu tunaziona.Alafu kama wengi mmesoma history mtajua kutembea UCHI ngozi nyeusi ndio asili yetu.Mtu abishe aone... go go mama
    mvalishe wako chumbani uone kama hukwenda nyumba ndogo, yaani utamkimbia!!!!!!!!!
    Venaz

    ReplyDelete
  45. America is free country. So, she can wear whatever she wants. She has a good figure. I like the way she wears her whatever. She is good looking women. But; remember people always, we have something to add. She is on vacation; so,she can can wears anything. Another thind to remember, we not here to make collections for what someone have been wrote. You are here to write your own comments. If you know English better than other good for you. If you look your fingers are not the same. In additon, English is my second language. In order to learn more I need to use it for what I have gained from my previous school.

    I sorry to write this. First of all, this topic is about Michelle's Kaputula.

    Not language.

    Thanks
    Mdau Peramiho-Ruvuma

    ReplyDelete
  46. sasa leo wamevumbua picha moja ya Jacky Kennedy kaapiga uchi wa mnyama. pamoja na kuvaa kote kule kumbe sasa siji hizo wataseema nini

    ReplyDelete
  47. Du ZE PAJAZZZZZZZ!! si mchezo! kumbe toto pajazzzz liko mwake namna hii!! doh salaaaale!! leo mwenzenu michu kanikumbuka na mie, siku nzuri sana leo, hapa nilipo najigongea mke wa rais kiulaiiini yani hapa natafuta la tatu!! ugali kwa picha ya samaki kama kawa.leo picha ya beyonce imepigwa bench kwa muda kwanza!!!!
    he kaka unasemaje??? mzee wa pajazzz nisiione hii nimerogwa??nshaikong'otea inshu muda tu, sema niliona nianze kazi kwanza bila ya kupoteza muda ukizingatia leo nina levola mpyaaa!!!
    duh kumbe mkuu anafaidigi namna hii!
    mzee wa pajazzzz.

    ReplyDelete
  48. MCHECK JAMAA NA MKEWE WALIVYO KEEP FIGURE NA NCHIYAKE MIHELA BWERERE KAZI KWA MZARAMU KUDADAEKI MIAKA 4TU TUMBO,TAKO,SHAVU DUUH MAMA SALMA VAA KAMA HIVYO ZE COMEDY WAPATE MSEMO

    ReplyDelete
  49. We annoy hapo katikati unajidai umepitia baraza la Kiswahili enhe?umemkosoa mdau wa Canada ati Kiswahili chake is not richabo na wewe ukaongeza madudu ni raisi na sio rais raia na sio raiya acha kunyumbulisha mambo Mdau vancouver Canada

    ReplyDelete
  50. KIMPANGO WAO, SISI HAITUHUSU, WAPO KWAO NA MAMBO YAO WENYEWE

    ReplyDelete
  51. aah jamani waandishi wa habari wa usa acheni ubaguzi mbona mnasema hapa america mtu anatakiwa kuficha sehemu za siri na matiti tu au leo kwa kuwa michelle ni black acheni hizo,mama uko right hizo ni rongo rongo tu

    ReplyDelete
  52. Wee Anon wa Fri 21 2:35 unayemwambia mwenzio aende shule, wee ndio unatakiwa uhamie shuleni kabisa kwani unaandika madudu matupu, ndio maana umeshidwa kuelewa hata alichoandika mwenzio. Kuhusu kaptula ya Michelle tatizo liko wapi joto kali mtu anaruhusa yakuvaa kinachofurahisha moyo wake, mumuwe karidhika wengine maneno yanini???

    ReplyDelete
  53. BIG UP OBAMMAAA MAGEUZIIII.....

    ReplyDelete
  54. humu ndani tuanzishe darasa la kiinglish manake mh ila mdau huko peramio ruvuma acha tu anyaway tumekusoma lakini ni kweli kiinglish ni second language na kukosea ndo unajifunza

    ReplyDelete
  55. kwa nini watu msijitahidi kuboresha maisha yenu na kuelimisha watot wenu, sadi homework n.k
    Hivi Obamaz family wanajua hata km mpo dunia hii? hiyo culture ya watu hamuwezi kubadili...ndio ni weusi lakni tofauti kabisa na tulivyo sisi waafrika..
    Heshimuni utamaduni wa watu..Hata kama kavaa katula mme wake hata ng'olewa urais..Amen.....!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...