kuna wadau wameomba kukiona kilima nanihii kule oysterbay dar, wakiahidi kukumbuka enzi walipokuwa wakipita kilima hiki ambacho pamoja na udogo wake ni maarufu kuliko vyote dar. naomba kuwasilisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. kilima nyege nyege!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Sasa hapo ndo unaona wananchi wanavyoteketea kwa ajari kwa sababu ya barabara finyu ambayo kimsingi ni single lane. Just imagine magari wawili yanapishana ktk barabara nyembamba kama hiyo au mtu ana overtake hapo!!

    ReplyDelete
  3. ... aaa hiki ni kilima nyege laivu safi sana nilikuwa nikipita hapo na gari lazima niongeze speed yani ni raha kweli ukishuka kwa 120 kiuno lazima kivaibrate yani kuna kimtekenyo fulani kitamuu basi we burdanii wengine utasikia uuhhu!! yote hiyo ni raha tuu
    mdau canada

    ReplyDelete
  4. haahaha michu... bwana eti unaona aibu kukiita kilima NYEGEE hahaha,unanikumbusha mbali wangu.thanx michu..

    ReplyDelete
  5. Kaka si useme tu kwamba ni KILIMA NYEGE?

    ReplyDelete
  6. Ooh man umenikumbusha mbali sana hicho ni kilima mcheketo! ilikuwa ukifika hapo ili usicheketuke inabidi uvute pumzi na usimame kidogo kwenye kitu! la sivyo unaweza ukajikuta umelowa.
    Ila vibarabara vya bongo bodo ni vyembamba mno no wonder ajali kila kukicha!
    Mdau USA

    ReplyDelete
  7. wengine hata hawajawahi fika hapo osterbay, sasa watakijuaje

    ReplyDelete
  8. baada ya kukiona kilima nyee nimecheka sana kuna siku bosi wangu alinituma huko o bay akiwa ktk kunituma /ktk kunielekeza akanitajia kilima nyege nikaachamdomo wazi na kweli nilipofika hapo nikapruvu

    ReplyDelete
  9. Babuu kilima genye hichoo. Chaleta mashamsham kweli hicho

    ReplyDelete
  10. Sasa hapo ni O'Bay au Masaki Haile salasi Road....Unatoka Jackies bar kwenda International school. Kulia unakwenda Chole road na shoto unakwenda COco Beach.

    ReplyDelete
  11. Hicho kilima kinanikumbusha mbali sana, wakati huo nilikuwa na demu wangu sasa akawa ananizungua kuhusu kunipatia mambo fulani kwa kipindi kirefu, basi siku moja nikaiba gari la uncle wangu nikampitia nikampitisha hapo kwa speed 120-130, tulisikia tu uwiii, akanikumbatia mpaka nikampeleka machinjioni nikaenda kumaliza mchezo, mpaka leo ananikumbusha hicho kilima ijapokuwa kaolewa, ananiambia eti kam sio hicho kilima ningemsikia kwenye bomba. Hili jina la Kilimanyege lilikuzwa na makondakta wa daladala zilizokuwa zinakwenda masaki enzi hizo za 1990's. Hongera Sana Br. Michuzi kwa kunikumbusha mbali hivyo. tena ngoja nimtafute huyu mama sasa hivi kwamba kilima chake kimetoka kwenye glob ya michuzi.

    ReplyDelete
  12. Mdau wa 04:51, hiyo barabara siyo nyembamba kihiiiiivyoo, yani umetia chumvi. hiyo barabara inatosha magari mawili kupishana sawasawa (ndo maana pasi siyo nyingi maeneo hayo). wewe umedanganyika na hiyo perspective view (samahani wadau sijui kiswahili chake). Ukitaka jua kuwa ni pana hiyo barabara, tumia ile canter kule mbele kama kipimio/scale. hata ukiiweka kwa urefu kukatiza barabara, inatosha ndani.

    chiggs, deslam

    ReplyDelete
  13. naona KABIBII ipo kwa mbaali kule, wadau wa masaki wa enzi hizo watanielewa, wageni poleni sana....

    ReplyDelete
  14. Inaelekekea huyo mdau wa hapo juu anaedai hii barabara ni nyembemba mno ni wakuja huyo kutoka bara hajui raha za jiji daslama na coco bichi yetu na Kilima nyege, pole kaka sijui dada wewe ukijaaliwa kufika Dar usikose kupita kilima hichi !! kwa kweli namiss bongo!Kilima nyeeege, Michuzi nae eti anaona kusema hilo neno ishu anabania bania kama anavyobania comment zetu shauri zako utakabwa , Mambo ni Full kujiachia kaka eeh.

    ReplyDelete
  15. Inaelekekea huyo mdau wa hapo juu anaedai hii barabara ni nyembemba mno ni wakuja huyo kutoka bara hajui raha za jiji daslama na coco bichi yetu na Kilima nyege, pole kaka sijui dada wewe ukijaaliwa kufika Dar usikose kupita kilima hichi !! kwa kweli namiss bongo!Kilima nyeeege, Michuzi nae eti anaona kusema hilo neno ishu anabania bania kama anavyobania comment zetu shauri zako utakabwa , Mambo ni Full kujiachia kaka eeh.

    ReplyDelete
  16. Asante sana mkuu wa nanihii kwa kweli unatukumbusha maisha fulani tuliyoyaacha huko nyumbani kwa upande wa kilima mnyegezo kina raha sana kwani nilikuwa nakubali nizunguke badili ya kupitia coco beach nipitie hapo kilima nyege nitokee karibu hotel nakumbuka kuna siku nilipata kitoto bomba sana nikakipigisha misele na gari nikakisomesha kikanipe uroda akakataa kabisa basi katika pitapita za misele nikampitisha kilima mnyegezo nikaongeza kamwendo kidogo basi ile kushuka tu mtoto karegea tepetwee akaanza kuniregezea maneno nikajivuta mjengoni nikauwa kiulaiini, kwa upande mwingine hapo ni hatari sana kwani mtu anaekuja kutoka upande wa pili akitokea chini huwezi kumuona kabisa yani mnapishana kimungumungu ni vyema wakuu wa ufisadi mkafikiria jambo hilo mpapige msasa kilima kipungue na upana wa barabara uongezeke sio mnakaa kunywa bia tu na nyama choma na kusahau kilichowaweka kwenye kazi zenu nyamafu nyie shwain basketi boli.....kaka usiniweke kapuni na ujumbe wangu wa machungu ya nchi yangu...mungu ibariki tanzania ibariki na watu wake...mdau uholanzi nawakilisha machungu yangu.

    ReplyDelete
  17. Mdau wa Fri Aug 14 12;16;00 umenikumbusha enzi za kabibii ndio chai maharage za mwisho mwisho njia ya masaki ndio ikaja coster moja inakimbia ile mbaya inaitwa ilikuwa inaitwa ABBN City van aka popo bawa ndio ilimaliza enzi za chai maharage masaki.Hiyo coster ilikuwa ikipita kwenye hicho kilima utasikia miguno tu kwenye gari.

    ReplyDelete
  18. Ni kweli kulikuwa na kabibi ambalo lilikuwa ni chai maarage, (daladala) asante tena kwa kunikumbusha.

    ReplyDelete
  19. Michu hii picha yaonekana ya kitambo kidogo maana hapo kuna mabango kibao yenye matangazo ya kampuni za simu pia kule mbele unapoliona gari kwa mbali kuna lami mpaka masaki mwisho...tupe latest palivyo mkuu..

    mdauzzz

    ReplyDelete
  20. OOoooh kilima nye.... Pita usiku ndio utaona raha yake mahala hapo!

    ReplyDelete
  21. tulipokuwa wadogo tukipita hapo tulikuwa tukiambiwa hapo "cha uroda", tukawa tumezowa tukipita kusherehekea cha uroda!
    tulipokuwa tukaanza kusikia hili jina la kilima nyege, nikajua wazazi walicheza kweli kutudanganya cha uroda!

    ReplyDelete
  22. hahaha wadau mnanichekesha sana...iki mkilima kweli cha ajabu. haha rusha roho bwana...lazima utekenyeke ukikipita speed hiki kilima thanks for the memory michuzi!

    ReplyDelete
  23. Hicho kilima kinaitwa kinyege mshindo na sioni sababu mtu uone haya kukitaja si lugha chafu kabisa

    ReplyDelete
  24. WEWE ANON 10:20PM USIFIKIRI TABIA ZETU WOTE KAMA ZAKO,USITULAZIMIZISHE KUFANYA YASIOSTAHILI KATIKA MILA ZETU!

    ReplyDelete
  25. duh bro michu umenikumbusha mbali sanaaaa hasa mara ya kwnza kwenda coco beach!niliekuwa nae akaniambia kuna kilima tukifika utaniambia umejisikiaje,hahahahha sina mengi!

    ReplyDelete
  26. tena hapo mbele kushoto baada ya kibao kulikuwa na duka linaitwa mhalibwa

    ReplyDelete
  27. mdau uliyeulizia ishu ya kilima nyege kwenda mbele ambako kuna intaneshno skuli (ist) ni kweli wameweka lami safi sana hadi kulee kona ya sea cliff ni full lami tu na sasa hivi ndo barabara inayotumika zaidi ukizingatia vijiwe vya maraha ndo vimeongezeka kwa wingi mitaa hiyo george and dragon, nyama choma za pale jeshini zimeamia kando ya barabara hiyo hiyo manake kijiwe cha jeshini wamekivunja pako tambarareee, garden bistro, merry brown pale ilipokuwa biliadi yani kuna mabadiliko makubwa saana kwenye hiyo road tatizo ni speed za 120 ni balaa hasa usiku watoto wa kihindi wa pale bongo hizo speed zinawafyeka kikweli hasa wakitokea pale bstro

    ReplyDelete
  28. ..I am going to call you Dr. Issa just for this..it's amazing how people minds would think the same..It has been six years since I left Bongo Land but this 'kilima' - I would never forget it - used to speed on my way to sleepway just to get that amazing feeling. Thanks for reminding us a bit of heart memories - sweet home sweet..can't wait to be back to see this amazing hill.

    Mdau Wichita, Kansas - USA.

    ReplyDelete
  29. hiyo ilikuwa ni kila siku saa moja kasorobo kuelekea kazini Sea Cliff Hotel..wacha masihara rafiki..

    ReplyDelete
  30. Kweli ambaye sio mdau wa masaki wa enzi hawezi kumbuka kabibii ,those were the good old days.

    ReplyDelete
  31. Asante kaka Michuzi kwa kunikumbusha enzi zile za miaka ya tisini nikienda kwa rafiki yangu Janeth David nyumba za Bandari. But kwa sasa hivi tunaita kilimani msaada wazazi wangu wamehamia maeneo hayo. So nilipokiona nilikumbuka enzi hizo nikiwa sekondari sasa hivi nimekuwa mama.

    By, Asha Manento

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...