Habari njema kwa wanaotarajia kwenda ukerewe karibuni.nyumba ya vyumba viwili inapangishwa, LondonNorth greenwich, dakika chache mpaka greenwich universityHolborn College na O2 centre.
dakika 30 mpaka central London.ina libeneke la sebule kubwa, jiko, bafu na choo. ipo ufukweni mwamto Thames, full fanicha.
wasiliana na
lizy
+447951035327
au
Farida
+447791612089

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. FANICHA, JIKO NA SEBURE NA CHOO HIVYO SI VITU VYA KUTAJA KUVUTIA NYUMBA SABABU HAPA LONDON HIVYO VITU NI LAZIMA VIWEMO KWENYE NYUMBA NI KAWAIDA WALA HAITAJI KUVITAJA LABDA KAMA ALIVIONDOA. JE HIYO SI NDIYO ILE NYUMBA ILIKUWA KWENYE RE-POSSESION? USIJE UKAHAMIA NA BAADAYE KUONDOLEWA. NINAOMBA MAELEZO.

    ReplyDelete
  2. we obama hapo juu ushaambiwa kama unataka maelezo mpigie Lizy au Farida. piga simu utapata maelezo damit!

    ReplyDelete
  3. shin'ngapi mwana kwa wiki???

    ReplyDelete
  4. kwa mwezi buku ngapi????

    ReplyDelete
  5. bwana eeh au unataka tu tupoteze airtime zetu bure??? weka full information bwana ili mtu atakaepiga ujue kweli huyu ni prospective customer sababu keshajua kila kitu na bado anapiga, na kwa yule ambaye ataona hawezi ku-meet kodi basi hatapiga kabisa, hiyo itakupunguzia hata wewe idadi ya simu utakazo pokea.
    wenzako wakitangaza kuuza nyumba, au viwanja huwa wanaweka na asking price zao SASA WEWE UNAFICHA NINI AU NDO UNATAKA KUMUOKOTA FALA WA KUMBANDIKIA KUKU KWENYE GUNIA KISHA UTIMKIE ZAKO MAREKANI??. nyie hamkawii yawezekana umechoka UK unataka hama sa ndo watafuta pesa hivyo.
    Anyway SEMA NI POUND NGAPI KWA WIKI AU PCM???
    ni hilo tu

    ReplyDelete
  6. weka vitu vya maana je wireless internet ipo? kwa week pound ngapi inclusive bill or not, weka bei haraka nakuja sept. greenwich university

    ReplyDelete
  7. Kweli wabongo noma! Udalali mbele kwa mbele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...