hawa ni vayle springs waliopamba hadi ukapambika ukumbi wa relwe gerezani ambao siku hizi umekuwa kiota kipya cha minuso na mgahawa wa nguvu unaoendeshwa na city garden ya paradise hotels


bwawa la kuogelea lipo na ni kivutio kikubwa siku za jumapili
ukumbi una nafasi ya watu hata 1000
huwezi amini kwamba hgapa ndipo palipokuwa
panachezewa netiboli enzi za mwalimu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. asante

    ni sehemu zuri sana nimepapenda,hasa harusi

    ReplyDelete
  2. Siku za sherehe muweke na wapiga mbizi kabisa, wakina fulani wakishapata maji ya mende huwa hawajielewi, msije kuibua maiti kwenye maji...
    Otherwise sehemu bomba sana..

    ReplyDelete
  3. huu wote in ushenzi na ni sehemu ya ufisadi. kiwanja cha michezo cha umma kauziwa fisadi kakigeuza ukumbi wa starehe!!! shit!

    ReplyDelete
  4. Siamini kama Sehemu ya michezo ambayo ingeweza kutoa akina hashimu wa kike imegeuzwa ukumbi wa maraha???!!!!!! Siamini macho yangu

    ReplyDelete
  5. Hapo ndipo ilipoanzishwa Timu ya Basketball Pazi kabla haijahamia gymkhana, na kabla ya Pazi ilikua ikiitwa Morani warriors.

    ReplyDelete
  6. Hapa mimi nilikuwa nafanya Mazowezi ya ngumi na cocha Habib Kinyongoli

    ReplyDelete
  7. AISEEEEEEEEEEEE BONGO KAMA NEW YORK

    ReplyDelete
  8. Tanzania hakuna mipangilio, mwenye nguvu mpishe! kupata mtu kama Hashim ni bahati sana. Kiwanja cha michezo kinakuwa kumbi ya starehe! we are the wretched of the earth.

    ReplyDelete
  9. Tanzania hakuna mipangilio, mwenye nguvu mpishe! kupata mtu kama Hashim ni bahati sana. Kiwanja cha michezo kinakuwa kumbi ya starehe! we are the wretched of the earth.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...