Home
Unlabelled
kiota cha minuso cha relwe gerezani chashamiri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
asante
ReplyDeleteni sehemu zuri sana nimepapenda,hasa harusi
Siku za sherehe muweke na wapiga mbizi kabisa, wakina fulani wakishapata maji ya mende huwa hawajielewi, msije kuibua maiti kwenye maji...
ReplyDeleteOtherwise sehemu bomba sana..
huu wote in ushenzi na ni sehemu ya ufisadi. kiwanja cha michezo cha umma kauziwa fisadi kakigeuza ukumbi wa starehe!!! shit!
ReplyDeleteSiamini kama Sehemu ya michezo ambayo ingeweza kutoa akina hashimu wa kike imegeuzwa ukumbi wa maraha???!!!!!! Siamini macho yangu
ReplyDeleteHapo ndipo ilipoanzishwa Timu ya Basketball Pazi kabla haijahamia gymkhana, na kabla ya Pazi ilikua ikiitwa Morani warriors.
ReplyDeleteHapa mimi nilikuwa nafanya Mazowezi ya ngumi na cocha Habib Kinyongoli
ReplyDeleteAISEEEEEEEEEEEE BONGO KAMA NEW YORK
ReplyDeleteTanzania hakuna mipangilio, mwenye nguvu mpishe! kupata mtu kama Hashim ni bahati sana. Kiwanja cha michezo kinakuwa kumbi ya starehe! we are the wretched of the earth.
ReplyDeleteTanzania hakuna mipangilio, mwenye nguvu mpishe! kupata mtu kama Hashim ni bahati sana. Kiwanja cha michezo kinakuwa kumbi ya starehe! we are the wretched of the earth.
ReplyDelete