We are here in the NSSF complex
best view of rock city ever
Grand restaurant
GRAND PENING OF...
Nyumbani Hotels and Resorts-Mwanza
The First 4 star Hotel in Mwanza
On Sunday 16th August 2009
We proudly announce to you that the chain of Hotels and Resorts now opening there second Nyumbani Hotels & Resorts in Tanzania, here in Mwanza city.
Welcome to Nyumbani Hotels and Resorts, the first 4-star accommodation in beautiful city of Mwanza!

In Swahili “Nyumbani” means home, so - good time and enjoyment all rolled into one for you to be at this place.

“Nyumbani Hotels and Resorts-Mwanza is offering luxurious bed rooms with en-suit bathrooms.

The Nyumbani Hotels and Resorts facilities include first class restaurant, high level standard conference hall, seminar rooms, 24 hours internet access,
The rooftop pool and bar offer ultimate relaxation, spectacular view of sunset,Lake victoria.

The Nyumbani Hotels and Resorts is located within NSSF Commercial Complex, at Kenyatta Road in the heart of Mwanza City. For our hotel guest we offer complementary transfer to and from Mwanza airport.
WELCOME KARIBU
Nyumbani Hotels and Resorts-Mwanza
The Nyumbani of your dreams … enjoy!


For more on Mwanza visit




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Tatizo la Hotel za Mwanza au bongo kwa ujuma ni wahudumu. Utakuta hoteli inafunguliwa nzuri sana na ina hadhi ya kimataifa, yaweza kuwa 3 star au 4 stars, lakini wahudumu ooooovyo kabisa. Nadhani Tanzania inahitaji kuwekeza katika fani ya hospitality- hotel za Mwanza karibu zote wahudumu feki kabisa- hivyo hata hii sidhani kama huduma zitakuwa za kiwango kinacho stahili 4 stars. Ni mimi Mdau mwaminifu- Peshawar, PAKISTANI

    ReplyDelete
  2. ANOY HAPO JUU JIELEZE VIZURI HOVYO KIVIPI FAFANUA ILI KUELIMISHA JAMII FEKI JIELEZE VIZURI ILI TUKUELEWE

    ReplyDelete
  3. well mie napinga kuhusu maoni ya ya jamaa alitoa maoni hapo juu akiwaponda wahudum wa hotel zetu huku home,hahao wafanya kazi labda tuu wawe wanapew corse mara kwa mara,ili waweze kuwa lingana na hazi ya hotel hizo,hukop ndo kukuza ajira home na kupunguza umasikini,hatuzi kutafuta wafanyakazi nje wakati wazawa wapo na hawana kazi wewe bwana usilete za kipapali,lazima wanachi wajivunie matunda ya nchi yao,kwa kupa ajira.marlesa musa wa 22.uk

    ReplyDelete
  4. YULE JAMAAA ANAEUZA NYUMBA YAKE SH MILIONI750 ANGETAKIWA NYUMBA YAKE IWE NA KIVUTIO KAMA HIKI CHA SWIMMING POOL SIO ANASISITIZIA MILIONI 750 KISA INA MATANKI YA MAJI

    ReplyDelete
  5. aaah!MZ kwel tambarare sasa kama bongo tu!narud sio muda mref kwetu ntajionea mwenyewe mabadiliko yaliyopo yanavutia sana.
    mdau wa kwimba-ughaibuni

    ReplyDelete
  6. Mimi nakuja kuuliza kama wizi wa mahotelini ulishaisha?Kwamaana hizo hoteli zinazoonekana hivyo zikivamiwa humo yani ni malisasi tu.Nilinusulika Mwanza nikiwa nimetoka Nigeria sitasahau,,,hata sasa hoteli nyingi za hapo bongo naziogopa sana kutokana na ujambazi.wazee wa kupiga boxiii piga box mjenge zenu sio lazima tufikie ndani ya hizo nyumba za mafisadi.

    ReplyDelete
  7. Kelele za nini tembeleeni muone ndio muonee.Mmetembea wapi?

    ReplyDelete
  8. Nilienda jana usiku kwenye hii hotel. Nilikuwa na matumaimi makubwa maana imesemwa kuwa ni ya hadhi ya "four star"

    In short, I was disappointed.

    The food, T-Bone steak, was so so - dry and ngumu.

    The service was so so. I accidentaly spilt my drink, my waiter saw it happen, smiled and did NOTHING. Twenty minutes later when he brought my meal I asked him to clean the mess on the table.

    I was really looking forward to a four star restaurant here in mwanza as it would allow me to indulge in my hobby - EATING OUT - but alas!

    I would like to know who gave then the four star rating!

    Nyau.

    ReplyDelete
  9. Tatizo lingine ndugu zanguni ni attitude. Hili nitalieleza in two folds:

    1.Matajiri wenye pesa: Wao wanadhani wanaweza ku copy and paste chochote wanachokiona Dubai na Thailand na wapi bila kubadilisha mitazamo yao a.k.a attitude. Wanajenga hotels lakini unakuta mtu hana passion ya kufanya biashara kama hiyo ambayo kiukweli inahitaji maono, uungwana na ufuatiliaji wa karibu ili kuona usafi, tabia chanya ( positive manners za wahudumu katika kila kipengele). Yaani hata sijui niseme nini. Ndio maana hata katika hotel moja hapo Mwanza maendeo ya Kirumba sijui wameweka meneja mKenya au sijui muwapi maana ana accent ya kiKenya walau kuokoa uso ( to save face). Japo naye nampa pole maana kila ukiomba jambo lifanyike vema, ni lazima yeye aende "physically" maana hao wasaidizi wake ni kasheshe tu. Watu hawana mood.
    Ombi langu ni kuwa watu wasianzishe vitu ambayo hawawezi kufuatilia. Kitu kama hotel ni jambo kwa kweli linahitaji kujitoa na passion maana unaweza sababisha matatizo ya kiafya mfano, kama chakula hakikuandaliwa kiusafi, mashuka hayafuliwi, vyooni hakuna detergents na vitu vingine vya usafi na hasa katika nyakati hizi za magonjwa mengi ( nakumbuka hotel fulani haina toilet seat sanitizers, na toilet paper ni zinapukutika hadi unahurumia unakoipeleka/tumika maana mmh)

    2. Wafanyakazi: Hawa ndio shughuli kubwa. Kwanza Nyodo Limited! uwii. Na wengi sijui wanakuwa wanakubali kufanya kazi ili tu waonekane tu mtaani kuwa wako hotel fulani lakini maadili ni sifuri. Ni kama kamtaa saingine ka ukahaba kamehamia jengoni. Huduma kwa wateja unakuta ni hasi ( negative) . Ukiomba huduma anaona kama unamsumbua.
    Tena lugha kama tafadhali, samahani ni msamiati wa kale!
    Mi najua ni kweli tunahitaji hizi huduma lakini sijui kama kuna hospitali ambayo tunaweza kutibiwa Watanzania ( tulio wengi) ili tubadilike tabia na kujitambua. Nitashukuru kama tiba hii itakuwa kwa njia ya sindano au drip ili ifanyike kwa haraka maana naona tunatitia. Na hofu yetu itathibitika pale Jumuiya ya Afrika Mashariki itakaporuhusu free mobility of labour ya kiukweli , mbona itakuwa sinema!!!!!!

    ReplyDelete
  10. Naungana na wanaosema wahudumu Mwanza, baado! Mimi kwetu Mwanza na wala sijawahi kuishi nje ya nchi lakini haihitaji hata uwe umeishi huko ili kujua kuwa hospitality kwenye hoteli za mwanza baado kabisaa! Natamani ningezitaja hoteli nilizoenda na wahudumu wanavyochemkaga na uongozi unawachukulia poa tu

    ReplyDelete
  11. uwiiii annon Mon Aug 17, 11:08:00 AM hahahaaaaaaa

    nimecheka sana..asante

    mie ni mpenzi tena aswaa kwenda pumzika hotels ila duh!mwanza F+ tena usiombe wee ni mtoto wa kike mbona izo nyodo za wahudumu umo ndani utakoma na kujuta...yan mtu unataka service mtu anajivuuuta domo kalinyongaaa khaa!!bado wataokufukuzia "kiaina"lol

    umemaliza yooote maana umaskini ni roho kamili..lol

    ReplyDelete
  12. Mon Aug 17, 12:59:00 PM mdau...

    ata mie mbona natamani nizitaje umu?maana zajulikana aswaa,kwao mteja ni mzungu/mdosi

    hili ni tatizo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...