ni takriban mwezi mmoja sasa umepita na ufunguzi rasmi wa kiplefti yetu iliyo katikati ya barabara ya mtaa wa azikiwe avenue jijini dar haujulikani utafanyika lini. huenda anasubiriwa mheshimiwa nanihii atoke huko aliko ili aje kuizindua. redio mbao zinadai kwamba waendao kwa miguu na wenye magari wanafaidi sana mandhari ya kiplefti hii...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Watanzania tumerogya na Mchawi wetu kafa.

    ReplyDelete
  2. tusiwanyime haki yao! angaa kuna maendeleo, wapezungushia kamba ya kutoa tahadhari. mimi ninatoa pongezi kwa hilo. chonde chonde.

    ReplyDelete
  3. Mhandisi wa Wilaya, Meneja Tanroads wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Wilaya, Naibu Meya wa Wilaya, Meya wa Wilaya, Mhandisi wa Mkoa, Mkurugenzi wa Mkoa,Naibu Meya wa Wilaya, Meya wa Wilaya,Mkuu wa Mkoa...

    ReplyDelete
  4. HAO WOTE WALIOTANJWA HAPO JUU NA ANONMOUS 05:42:OOAM, WOTE HAO WANAKULA NA KULALA PONDA MALI YA NCHI BILA KUKUMBUKA KUJENGA NCHI KUMBUKENI HAKI ZA UMA......KILA GOTI LITAPIGWA SIKU HIYO IKIFIKA.....tutawasakama mpaka mtanyooka majambazi wakubwa nyie na wengine sekta mbali mbali kama polisi wao ndio wameamua kubeba mabunduki na kuibia raia utawakuta barabarani usiku wa manane ukisafiri na gari la mizigo unapigwa mkono ukiangalia ni mapolisi ukisimama tu umeisha gari linatekwa mali yote wanaiba alafu wanalala mbele siku moja uzalendo utatushinda tutapigana shaba kama kuku ngedere nyie....mdau uchungu umenizidi kaka michuzi niwakilishe tafadhali...mdau uholanzi

    ReplyDelete
  5. kaka katika kazi za social responsibility hii nakupongeza, umeshika bango wee lakini wanajifanya hawaoni. wataona tu.

    ReplyDelete
  6. Jamani subira ya vuta heri,you know hapo mahala panahitaji utaaluma wa hali ya juu msione tupo kimya hatulali..... "MSEMAJI WA NANII...."

    ReplyDelete
  7. wacha nitobowe siri, hapo mahali bwana pamegundulika kuwa pana petroli na wataalamu wetu ndio wako katika harakati za kuanza mradi mzima wa kunyonya petroli!!!

    ReplyDelete
  8. michu wee noma...

    nimepita apo juzi tu yan ni kweli kabisa kiplefti iyo haijatulia tena ukitegemea ni sehemu yenye abiria lukuki wanaogombania daladala jioni...

    eti mdau "wameona petrol" hahahaaa

    nimecheka sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...