anko nanihii akila konozzzz na mdau Nicole Hunter wa Cleveland, Ohio, ambae yuko bongo vekesheni. hawa walikutana mara ya kwanza mitaa ya twitter.com na hii ni mara yao ya kwazna kukutana laivu ambapo Nicole kumbe ni mmoja wa wadau wakubwa wa globu ya jamii marekani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Michu mdogo wangu, au hii ndio introduction kwamba umepata "jiko"? Tuambie tuanze kuchangachanga minoti huku. Pili, zefulanas ndugu yangu, ikowapi? Michu mdogo wangu naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  2. Nicole ameolewa? nauliza tu jama...na nyinyi kama mnamaswali ulizeni!!

    ReplyDelete
  3. mwanangumwenyewe michu hilo jimama damu baridi la kizungu limezimikia flagi hilo so mzee kamua kwa kwenda mbele. kasafiri kwa ajili ya hiyooo ladha ya kimatumbi so mzee inabidi bi mkubwa umuweke kando walau kwa wiki moja utoe huduma hapo, mwenyewe utaona mavekesheni ya kwenda cleveland yatakuangukia hadi uyakimbie. lakini mwana fanya nyatunyatu bi mkubwa tegeta asistukie inshu!!!
    Francis, IL

    ReplyDelete
  4. Tehe tehe hehehehe...naona ki-blind date kimefanikiwa lol

    ReplyDelete
  5. NICE PIC. VIPI MATOKEO YA RWANDA LAKINI???????

    ReplyDelete
  6. Michuzi kula kichwa wala usiulize maana hao kuliwa kichwa siyo big deal kwao na ukimaliza atakuambia we are just friends.

    ReplyDelete
  7. Mwenye macho haambiwi ona. Nakuaminia michuzi, lazima alijue jiji huyo mgeni wako.Kiulainiiiii!

    ReplyDelete
  8. HONGERA MHESHIMIWA, VP, MAIWAIFU WETU ANAJUA KAMA UNA MGENI AU NDO MAMBOZ YA KIDUMEZ???????

    ReplyDelete
  9. Goshh!!!kwanini people are narrow minded kiasi hiki,yaani kusoma hizo comment hapo juu,ndugu zanguni tubadilikeni la sivyo magonjwa hayatoisha km tukiendelea hivi....

    ReplyDelete
  10. michuzi umeshindwa hata kutuletea habari za Rwanda kwa vile umeukumbatia mzigo au mtumba wa Marekani?
    mkuu wa wilaya leo umebikiriwa,sijui kama umewahi kulala na hawa madori.

    ReplyDelete
  11. karatasi hizo michu....na KAMA WEE HUZITAKI MKUMBUKE HATA BINAMU YAKO BONDE MUHEZA HUKO

    ReplyDelete
  12. Naona Baba Abdul Ramadhani inakuja sasa unatafuta mke watatu kama ulivyofanya kwa mganda(mke wa pili). Sasa naona unenda kwa muzungu baba umeshindikana.............Naona unapenda mijimama tu wewe kweli mwafrica asilia.

    ReplyDelete
  13. Makaratasi hayo Michuzi, Changamka Mwanangu uje uzae Obama! Tumechoka na Watani wa jadi wanajifagilia, Mungu atupe nini mwaka huu!!

    ReplyDelete
  14. samba mapangala.... mapenzi haichagui kabila.. muzungu mwafrika vilevile mie michuzzzzzz....
    mdau canada

    ReplyDelete
  15. Kaka naona umeanza utundu unatafuta marafiki kwenye twiter kweli kaka bado unanguvu sasa huwa unapiga nae ile thekthi on foni

    ReplyDelete
  16. we anoy wed Aug12,05:47:00PM
    matokeo ni kwamba Taifa stars 2 rwanda 1 wafungaji ni
    TEGETE NA GUMBO

    ReplyDelete
  17. Jimama kama hili laweza kuwa litamu sana kwani ndo linakaribia menopose. Mtu mzima usilaze damu. Kamua kwa kwenda mbele ile wazungu wanapenda sana kujamba wakati wa mavituzzz. Hivi kwa nini?????????

    ReplyDelete
  18. jamani mapenzi yanaaanitatizaeeee kula siweeeezi kusema siweeezi chakula sitaki nakiona sumu! jamani mdhungu ananipa preshaeeee
    mdau usa blogger

    ReplyDelete
  19. Huenda huyo dada ndio US Blogger

    hahaha

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...