Home
Unlabelled
konozzzzz toka ohio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu mdogo wangu, au hii ndio introduction kwamba umepata "jiko"? Tuambie tuanze kuchangachanga minoti huku. Pili, zefulanas ndugu yangu, ikowapi? Michu mdogo wangu naomba kutoa hoja.
ReplyDeleteNicole ameolewa? nauliza tu jama...na nyinyi kama mnamaswali ulizeni!!
ReplyDeletemwanangumwenyewe michu hilo jimama damu baridi la kizungu limezimikia flagi hilo so mzee kamua kwa kwenda mbele. kasafiri kwa ajili ya hiyooo ladha ya kimatumbi so mzee inabidi bi mkubwa umuweke kando walau kwa wiki moja utoe huduma hapo, mwenyewe utaona mavekesheni ya kwenda cleveland yatakuangukia hadi uyakimbie. lakini mwana fanya nyatunyatu bi mkubwa tegeta asistukie inshu!!!
ReplyDeleteFrancis, IL
Tehe tehe hehehehe...naona ki-blind date kimefanikiwa lol
ReplyDeleteNICE PIC. VIPI MATOKEO YA RWANDA LAKINI???????
ReplyDeleteMichuzi kula kichwa wala usiulize maana hao kuliwa kichwa siyo big deal kwao na ukimaliza atakuambia we are just friends.
ReplyDeleteMwenye macho haambiwi ona. Nakuaminia michuzi, lazima alijue jiji huyo mgeni wako.Kiulainiiiii!
ReplyDeleteHONGERA MHESHIMIWA, VP, MAIWAIFU WETU ANAJUA KAMA UNA MGENI AU NDO MAMBOZ YA KIDUMEZ???????
ReplyDeleteGoshh!!!kwanini people are narrow minded kiasi hiki,yaani kusoma hizo comment hapo juu,ndugu zanguni tubadilikeni la sivyo magonjwa hayatoisha km tukiendelea hivi....
ReplyDeletemichuzi umeshindwa hata kutuletea habari za Rwanda kwa vile umeukumbatia mzigo au mtumba wa Marekani?
ReplyDeletemkuu wa wilaya leo umebikiriwa,sijui kama umewahi kulala na hawa madori.
karatasi hizo michu....na KAMA WEE HUZITAKI MKUMBUKE HATA BINAMU YAKO BONDE MUHEZA HUKO
ReplyDeleteNaona Baba Abdul Ramadhani inakuja sasa unatafuta mke watatu kama ulivyofanya kwa mganda(mke wa pili). Sasa naona unenda kwa muzungu baba umeshindikana.............Naona unapenda mijimama tu wewe kweli mwafrica asilia.
ReplyDeleteMakaratasi hayo Michuzi, Changamka Mwanangu uje uzae Obama! Tumechoka na Watani wa jadi wanajifagilia, Mungu atupe nini mwaka huu!!
ReplyDeletesamba mapangala.... mapenzi haichagui kabila.. muzungu mwafrika vilevile mie michuzzzzzz....
ReplyDeletemdau canada
Kaka naona umeanza utundu unatafuta marafiki kwenye twiter kweli kaka bado unanguvu sasa huwa unapiga nae ile thekthi on foni
ReplyDeletewe anoy wed Aug12,05:47:00PM
ReplyDeletematokeo ni kwamba Taifa stars 2 rwanda 1 wafungaji ni
TEGETE NA GUMBO
Jimama kama hili laweza kuwa litamu sana kwani ndo linakaribia menopose. Mtu mzima usilaze damu. Kamua kwa kwenda mbele ile wazungu wanapenda sana kujamba wakati wa mavituzzz. Hivi kwa nini?????????
ReplyDeletejamani mapenzi yanaaanitatizaeeee kula siweeeezi kusema siweeezi chakula sitaki nakiona sumu! jamani mdhungu ananipa preshaeeee
ReplyDeletemdau usa blogger
Huenda huyo dada ndio US Blogger
ReplyDeletehahaha
(US Blogger)