Kaka Michuzi pls nipitishie tu haka kaujumbe kwa wale wajasiria mali. Na mwenyezi Mungu akubariki.
NIMEDHAMIRIA KUKUZA MTANDAO HUU WA REAL ESTATE, KWA KUWAALIKA HATA MADALALI WOTE NCHINI KUTUMA NYUMBA ZAO ZA KUPANGA AU KUKODISHA / VIWANJA NA N.K. ZIKIWA NA CONTACT ZAO. BUREEEE. KUFANYA HIVI NI KUSAIDIA WATEJA WANGU KUPATA VIWANJA/ NYUMBA IWE YA KUPANGA AU KUNUNUA BILA USUMBUFU WOWOTE.WOOTE MNAKARIBISHWA.
Hivi kweli wewe uko serous na biashara au unataka kutupotezea wakati?
ReplyDeleteNyumba zote zinaonyesha ziliwekwa kwenye tangazo zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Je bei bado ziko vile vile? Kwanini hazipata wanunuaji, wapangaji?
Kama kweli uko serious na biashara yako inabidi utolee jasho kazi ututumie vitu abavyo viko up to date.
Kisha inabidi urahisishe kazi kwa wateja wako kwa kupangilia makundi ya nyumba zinazouzwa, zinazopangishwa na n.k.
Inawezekana kwamba umeanzisha website yako hivi karibuni na bado uko kwenye harakati za kuipigi soap soap, kama ni hivyo ingebidi uwe na subira uweke kitu ambachi kiko profissional.