picha hizo hapo nimeona ingekuwa vizuri nawe ukaziona na kuwarushia wadau hewani. Picha no 1 na 2 ni vijana wa bagamoyo kama nilivyowakuta wakicheza pool ambalo wameamua kulitengeneza wenyewe hii inaonesha vijana hawa wakiwezeshwa wataweza kufanya vitu vya maana.
Mdau Nyalusi


HIVI TAKATAKA ZINAZOTUZUNGURUKA NI SEHEMU YA UTAMADUNI WETU WA MAISHA?
ReplyDeletewakimaliza kucheza kupata watoto kazi maana viuno vitakua sio vyao tena.
ReplyDeleteWanasoma shule kweli?
ReplyDelete