WADAU HABARI ZA WIKIENDI.
GLOBU YA JAMII INAPENDA KUELEZEA FURAHA YAKE KWA SAPOTI YA NGUVU MNAYOIPA, IKIZINGATIWA KWAMBA HIVI SASA PALE CHINI KULIA TARAKIMU ZINAONESHA KWAMBA MDAU WA MILIONI 7 ANANUKIA NA ANAKUJA KWA KASI.
MCHAKATO WA KUONGEA NA MFADHILI UMESHAANZA NA MAMBO YAKIENDA MSWANO MDAU MWINGINE ATANUFAIKA SIKU ZI NYINGI ZIJAZO.
ASANTE WADAU WA SAPOTI YENU
MBARIKIWE NYOTE
-MICHUZI


Asalam Aleykum Shekhe
ReplyDeleteNajua matangazo (ndovu, Voda)yanakutoa kwa namna flani, lakini naona ka yamekuwa makubwa sana. Fanya maarifa yawe madogo madogo.
Swaumu njema
ngoja tusubiri tuone.....
ReplyDelete