Kaka pole sana na majukumu,

kaka mimerudi tena nikiwa kama mdau mmojawapo wa blog yetu hii ya jamii.
Nami ningependa tujumuike pamoja kwa mara nyingine tena katika hii libeneke letu la kimachinga
a.ka.
showroomautoaccesories.blogspot.com
nadhani sitakuwa nimefanya kosa kukukaribisha na wadau wenzangu wa blog hii ya jamii kututembelea.
Asante sana kaka.

Karibu.
Showroom Auto Accesories.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimetembelea huko na kukuta picha tu za magari na vikorombwezo vyake. Yanauzwa? yako (iko) wapi? bei gani? ya mwaka gani? km ngapi kama ni used? ....

    ReplyDelete
  2. Naona wewe mdau ulietangulia kutoa maoni kwa haraka zako wala hukutaka kujua hawa jamaa wanafanya nini?
    Kwakukusaidia siku nyingine usiwe na papara ya kusoma tangazo la mdau bila ya kulisoma vizuri tangazo lake.
    Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyu mdau hauzi hayo magari unayotaka wewe,yeye anauza vikolombwezo(accesories)vya magari,na hizo picha ulizo ona ni za magari ambayo teyari yameshawekewa vikolombwezo.
    Alafu swali lako unamuuliza nani kuwa hawa wako wapi wakati kilakitu kiko hapo kwenye tangazo lao?
    Wadau wenzangu tusiwe kama huyu jamaa mwenye maswali ambayo yeye teyari anamajibu mbele yake.
    Kaka michuzi anajua anachofanya kuleta ombi la mdau ili tujumuike sote pamoja.

    ReplyDelete
  3. Naona wewe mdau ulietangulia kutoa maoni kwa haraka zako wala hukutaka kujua hawa jamaa wanafanya nini?
    Kwakukusaidia siku nyingine usiwe na papara ya kusoma tangazo la mdau bila ya kulisoma vizuri tangazo lake.
    Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyu mdau hauzi hayo magari unayotaka wewe,yeye anauza vikolombwezo(accesories)vya magari,na hizo picha ulizo ona ni za magari ambayo teyari yameshawekewa vikolombwezo.
    Alafu swali lako unamuuliza nani kuwa hawa wako wapi wakati kilakitu kiko hapo kwenye tangazo lao?
    Wadau wenzangu tusiwe kama huyu jamaa mwenye maswali ambayo yeye teyari anamajibu mbele yake.
    Kaka michuzi anajua anachofanya kuleta ombi la mdau ili tujumuike sote pamoja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...