Kaka pole sana na majukumu,
kaka mimerudi tena nikiwa kama mdau mmojawapo wa blog yetu hii ya jamii.
Nami ningependa tujumuike pamoja kwa mara nyingine tena katika hii libeneke letu la kimachinga
a.ka.
showroomautoaccesories.blogspot.com
nadhani sitakuwa nimefanya kosa kukukaribisha na wadau wenzangu wa blog hii ya jamii kututembelea.
Asante sana kaka.
Karibu.
Showroom Auto Accesories.
Nimetembelea huko na kukuta picha tu za magari na vikorombwezo vyake. Yanauzwa? yako (iko) wapi? bei gani? ya mwaka gani? km ngapi kama ni used? ....
ReplyDeleteNaona wewe mdau ulietangulia kutoa maoni kwa haraka zako wala hukutaka kujua hawa jamaa wanafanya nini?
ReplyDeleteKwakukusaidia siku nyingine usiwe na papara ya kusoma tangazo la mdau bila ya kulisoma vizuri tangazo lake.
Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyu mdau hauzi hayo magari unayotaka wewe,yeye anauza vikolombwezo(accesories)vya magari,na hizo picha ulizo ona ni za magari ambayo teyari yameshawekewa vikolombwezo.
Alafu swali lako unamuuliza nani kuwa hawa wako wapi wakati kilakitu kiko hapo kwenye tangazo lao?
Wadau wenzangu tusiwe kama huyu jamaa mwenye maswali ambayo yeye teyari anamajibu mbele yake.
Kaka michuzi anajua anachofanya kuleta ombi la mdau ili tujumuike sote pamoja.
Naona wewe mdau ulietangulia kutoa maoni kwa haraka zako wala hukutaka kujua hawa jamaa wanafanya nini?