Debutant Sebastien Bassong scores for Spurs
Wyne Rooney celebrates his goal
Tottenham 2 - 1 Liverpool

Tottenham debutant Sebastien Bassong scored the winner as Spurs beat Liverpool at White Hart Lane.

Bassong headed in just after the Reds had equalised through a Steven Gerrard penalty - awarded for Glen Johnson being brought down by Heurelho Gomes.
Benoit Assou-Ekotto had earlier put Spurs ahead when he arrowed in a superb 20-yard strike into the top corner.

Assou-Ekotto pushed Andriy Voronin late on but referee Phil Dowd waved away Liverpool's appeals for a spot-kick.
--------------------------------
Man Utd 1 - 0 Birmingham

Wayne Rooney notched his 99th goal for Manchester United as the Premier League champions opened up their title defence with victory over Birmingham.
The striker tapped in after his header from Nani's cross rebounded off the post back into his path on 34 minutes.
Ben Foster made a brilliant stop to deny Christian Benitez a goal on his Birmingham debut in the 77th minute.

Substitute Michael Owen missed a chance to open his account for United when he shot at Joe Hart in stoppage time.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. haya bwawa ndio hiloo limeanza kujaa bila mvua! Yetu macho!

    kaka Gee, Arusha.

    ReplyDelete
  2. HIP HOP BILA MADAWA INAWEZEKANA,, HIP HOP BILA MADAWA INAWEZEKANA,, HIP HOP BILA MADAWA INAWEZEKANA.. BWALA LA MAINI WAMEVUNA WALICHOPANDA, MAN U JUU,, JUU ZAIDI,, HIP HOP BILA MADAWA......

    MDAU PHNOM PENH-CAMBODIA (FORMELY KAMPUCHEA)

    ReplyDelete
  3. tehe tehe tehe, na bado.... mtafungwa sana mwaka huu.

    ReplyDelete
  4. Mdomo umeshaanza kukatwa mapema.Go Spurs.Bwawa la mawashiwashi hoi.

    ReplyDelete
  5. Pole sana mkuu wa nani hii kwa kipigo kitakatifu.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  6. ile pyee bwawa kauuuuuuuuu imarati man u the blues haooooooo! hahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa upo mkuu wa nanihiii

    ReplyDelete
  7. heee aluu... magoli bila RONALDO inawezekana!!!
    mdau canada

    ReplyDelete
  8. Ule usemi kuwa 'You will never walk alone' sasa umebadilika utakuwa 'You will now walk alone'. Poleni na ndio kwaaanza kunakucha.Jiji la Dar limetuliaaaaa

    ReplyDelete
  9. acha vijana wachote maini ndani ya bwawa kwani mwenyewe kayatelekeza!!

    ReplyDelete
  10. NDIO NYINYI WAPATA LEO NDIO KAZI ZENU -TUNAJUWA VIPI MAREFA WANAVYOSIDIA TIMU ZETU INDIRECTLY JANA TUMEONA PENALTI MBILI REFA WENU KAZIMINYA.

    ReplyDelete
  11. Bro Michuzi kwanza shkamoo (kama unaona mali), kaka MMEFULIA NA MAJI YA BETRI KAKA, Aibu zaidi mnafumuliwa na Debutant! Bora angekufungeni Mkongwe yeyote, yaani sio Bassong ambaye hata Spurs haijui vizuri, PIGA HAOOOOOOOOOOOOOOO, WATU PEOPLEEEE!
    Watu sasa we GO 4 4 CONSECUTIVE BPL TITLE!
    Michuzi Spurs haoo (nakutania tu, usije kuacha laptop ukakimbia bure, hawaji wala nini)
    It iz me DIE-HARD-MAN-UTD-FAN
    (All the way from TMK)

    ReplyDelete
  12. tatizo watu wameisahau the gunners na kuizalau sanaaaaaaa,kisa haijasali maji,mara ooh watoto mara ooooh haitakuwapo kwenye top 4,mara huu watakimbiwa na wachezaji nyota ,mara wamefulia.
    Nyinyi watu wa ajabu sana,manawaza kinyume kabisa na wenger na sisi the gooners wenyewe,sisi tunazungumzia ubingwa,nyie mnazungumzia top 4 kama yule mjinga A.cole na adebayor,sisi mwaka huu tutakaa kimya tunawaacha nyinyi muichambue arsenal kama mtakavyo,na hata kusema mtakavyo. mwando ni 66666666666666666 au 555555555555555555

    ReplyDelete
  13. Ni Mimi mdau wa ManUnited Los Angeles.Kama Umeona game zote (Big 4)utaona kuwa Sio Liverpool tu walio struggle,hata Chelsae na ManUnited wali shindwa kufanya walicho fanya,except to get 3 points.

    Ligi ni ndefu,ila Liverpool wajue tu kuwa last season waliotoa Droo nyingi sana na mwaka huu wameanza na kipigo.

    ManUnited,is good that they started with a win,last two season,they started with 3-4 games with a droo.

    Mimi bado ninaimani,BIG 4 will be BIG 4.Sorry man city.

    ReplyDelete
  14. POLE SANA KAKA MICHUZI NA WENZIO WA BWAWANI, SISI WA DARAJANI TULIOKOLEWA NA MZEE DROGBA. LAKINI NDIO UKUBWA HUO.
    NAOMBA TUJIKUSANYE TUANZISHE / KAMA BADO LIGI YA FANTASY FOOTBALL HATUJACHELEWA.hapa http://fantasy.premierleague.com/

    ReplyDelete
  15. haya sasa bwawa limekuwa mfereji wa maji machafu mmeloweshwa ma watoto ebwanaaaaa eeeeeh kama mwanzo ndio huu yetu macho kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...