hekaheka wakati karatasi, magari na mali zingine za kiwanda cha uchapaji na kutengeneza maboksi cha Jumbo barabara ya Nyerere Road jijini Dar vikiwaka moto jioni hii. Hakuna aliyeumia na chanzo hakijafahamika na faya walifanikiwa kuuzima moto huo mkubwa kabla ya kusambaa jirani
moshi ukifuka juu ya majengo ya Murzah Oil mills ambamo kiwanda cha Jumbo kimo
tenki la mafuta ya kula likiteketea nje ya jengo baada ya kutolewa
wadau wanatoka mkuku baada ya kuvunja kufuli ya bohari ambayo nayo inawaka
faya wakila mzigo
moto moto moto...
ndani ya kiwanda hakieleweki maana karatasi zinawaka si mchezo. hata hivyo faya waliwahi kuzuia moto usifike hapa ndani








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. haaahha napenda moto unavyowaka unawaka vizuri kweli na jinsi kulivyo na baridi huku natamani ningekuwepo niote huo moto hadi basi.

    MDAU MKAANGA CHIPSI aka MCHAWI

    ReplyDelete
  2. vzuri sana kama waliweza kuuzima moto huo,
    manake hawachelewi kuja na kuanaza kusema hawana maji...au wanakuuliza ni kiasi gani watapewa wakati mali inateketea...

    ila yote ni sababu ya umaskini,fire iko moja tu.

    ReplyDelete
  3. deal la kula pesa za insurance hilo....fungukeni macho wabongo...

    ReplyDelete
  4. watu washachora mchoro hapo wa insuarance,tunaover-estimate loss halaf mambo mengine kama kawa.
    bongo tambarare.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...