TWAHILI NA FATUMA WAKITABASAKATIKA NDOA YAO ILYOFANYIKA JIJINI ATHENS GREECE AGOSTI 14, 2009
MC HASSAN CHUNDA akifanya vitu vyake katika sherehe ya ndoa ya bw.Twahiri iliyofanyika katika ukumbi wa jumuiya ya watanzania mjini Athens Maalim Saleh(kushoto)Nassor,Bw harusi Twahiri na Bobi Daddy wakielekea kwenye kufunga ndoa
BWANA NA BI HARUSI WAKIBURUDIKA NA WAKICHEZA SLOW LA NGUVU KUFUNGUA DANSI WAKATI WA MNUSO WA KUMEREMETA KWAO

wADAU Mungi,Dady,Twahir,Shafti,Kayu na Juma mara baada ya kumeremeta

WATANZANIA WOTE WA UGIRIKI TUNAWATAKIA KILA LA KHERI NA MAFANIKIO Bw. TWAHIRI NA Bi. FATUMA KATIKA NDOA YAO ILIYOFANYIKA 14/08/2009 KATIKA OFISI YA JUMUIYA YETU ILIYOPO MTAA WA LEMESOY -1 ATHENS!!





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongereni maharusi, mola awajaalie maisha marefu ya ndoa, upendo na vizazi vyema.majina sahihi ya bibi na bwana harusi ni Twahir na Fatma, mwandishi kua makini usiharibu majina ya watu....
    mmependeza sana.

    ReplyDelete
  2. mmependeza.Aliyempamba bi harusi kafanya kazi nzuri sana tena sana siyo kummwagia bi harusi poda ka kitu gani
    kila la kheri

    ReplyDelete
  3. jamani watu wanapenda kunogesha majina yao hasa hasa wa majuu
    utakuta mtu fatuma anajiita fatma. Asha- Isha.
    Habiba- Abby
    Mariamu- Miriam
    hii yote ni kunogesha

    ReplyDelete
  4. We anon acha ushamba wako hapa hakuna jina Fatuma jina halisi ni hilo la FATMA (jina la bint kipenzi wa mtume wetu Muhammad {S.A.W})na vile vile hiyo Asha asili yake ni Aysha au Aisha (jina la mke kipenzi wa mtume wetu Muhammad {S.A.W}.
    Vile vile ni hiari ya mtu kuongeza herufi au kupunguza katika jina lake au anapompa mtoto wake japo ni vizuri na inapendeza kuyatumia kama yalivyo.
    Kwa hiyo in short, HAYAKUHUSU!

    ReplyDelete
  5. KWANZA NATAKA KUJUA HUYO TWAHILI GANI NINOBROWN??????ALIKUWA BULGALIA LONGTIME????HBASI NIMEKUBALI KAKA KILA HERY...MBONA MWANANGU DADI NA MUNGI MMEKUWA WAZEE MAPEMA????TWAHILI UWEZI KUNIKUMBUKA MUULIZE DAD MIMI NI MTOTO WA QUEEN BETRX WA HOLLAND.

    ReplyDelete
  6. Hongera Babu Twahili Salum Majere
    Salamu toka kwa Kakaako hapa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...