Mke wa Rais Mama Salma Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) akiangalia zawadi ya kanga iliyoandikwa “Tuungane kwa ajili ya watoto” aliyopewa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia mambo ya watoto (UNICEF) Heimo Laakkonen. Laakkonen pamoja na Makamishina wenzake walitembelea ofisi za WAMA leo kwa ajili ya kutoa mrejesho wa shughuli ya ziara yao ya wiki moja waliyoifanya hapa nchini baada ya kupata mwaliko kutoka wizara ya Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto.
Home
Unlabelled
makamishna wa UNICEF watembelea WAMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
sasa matenge hayatakiwi tena na tamaduni za watu wa pwani ndio kivutio (kanga)kweli inauma
ReplyDelete