Illuminata na warembo wenzake walipotembelea hoteli ya GrayCliff kisiwani Bahamas ikiwa ni moja ya shughuli ya kambi ya Miss Universe ambayo fainali zake imepangwa zifanyike Agosti 23.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. You look cute and smart Illuminata you must be a winner,keep it up baby

    ReplyDelete
  2. mbona wenzake wako casual lakini yeye kauramba hivyo? na joto la sasa hivi 110f hiyo nguo mshikaji nzuri sana but wasn't suitable 4 thao occasion

    JM2C

    ReplyDelete
  3. I agree angevaa kagauni simple cha kitenge kama hoja ni kitenge. Hilo vazi ni too formal litakukoshesha point. Huwa wanaangalia na jinsi gani unaweza kuvaa katika occasional zote. kama hawajakufundisha jaribu kuibia wenzako wanavaa nini ili kidogo upate idea.

    ReplyDelete
  4. Hawa matrainer wako wapi?! yaani Illuminata ndio kavaa kivyake, hiyo nguo haiendani kabisa na hali ya sasa hivi maana kuna joto sana. Ataonekana hajui kuvaa mavazi yanayoenda na weather, apatiwe msaada wa haraka maana 23/08 sio mbali!! Huto tupaja tunatakiwa tuonekane, a little bit of that chocolate-brown!!

    Mdau wa JUU

    ReplyDelete
  5. Swadakta wadau hamjakosea hoja zenu angevaa kijinguo simple cha kitenge na sio nguo yote hiyo mpaka inafunika makucha haiendani na weather ya huko bahamas joto sana...watoaji mafunzo bado mpo nyuma sana mnatumwaga wadau....kila la heri iluminata mdau uholanzi nawakilisha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...