Dear kaka Michuzi,
Pole kwa kazi, na majukumu mengine.
Pia ahsante kwa kutuletea taswira za
Jiji langu la Mwanza a.k.a Rock City.
Sasa ombi langu - naomba niliwakilishe kwa kiingilshi...
Looking for someone who has knowledge/experience in creating databases specifically inventory databases. I have already created a basic one but would require the following features to enhance it:
*Tracking of location of equipment
*Inventory status
*Reports/ summaries
*Quick access form
*Simple user interface
*A way of entering multiple entry
data without repeating same info
Access limitations, among other bits and pieces
Although i have specified this as help, I can come to an agreement to compensate for time and effort in creating the database.
If interesed and for more info please do not hesitate to contact me on database.inventory@gmail.com
Ahsante,
Mdau wa Rockcity
Usipende vya BURE mtoto wewe utakuja kuolewa bila mahali. Kwani hujui kama kampuni zenye kutoa huduma hiyo??
ReplyDeleteWenzako hawatafuti wachumba kwa njia hii!
ushauri wa bure: tafuta wanafunzi wanaojifunza db development au admin. Your db is not complicated, but it is not going to be easy for you to find a db developer to develop a database for free. Na pia it is an access db ni rahisi sana, proffessionals wengi wanapenda challenges kwa hiyo si rahisi kupata mtu wa kukufanyia hiyo hata kama unamlipa, as you know itakuwa hela ndogo sana.
ReplyDeleteMimi nilivyokuwa mwanafunzi nilitengeneza access databases nyingi for free kwa companies na organizations, nilichukulia kama napata experience. Lakini sifanyi tena MS Access database hazina hela.