(bofya mshale hapo juu shoto kuona video hii)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wewe unaongelea haki za madereva,, na vipi kuhusu ajali nyingine zinazotokea kiuzembe ukiachana na hiyo ya kuchomoka tyre?? HALAFU WOTE AMBAO WAMEONGEA HAPO HAMNA HATA MMOJA ANAYEFAA KUWA DEREVA WA GARI LA ABILIA MAANA HATA KUONGEA HATA MUONEKANO NI WA KIVUTAJI TU,
    WEWE KAMA UNAFUATA SHERIA KWA NINI UKUBALI KULIPA HIYO FINE YA LAKI TANO AU TATU NA USIWE TAYARI KWENDA VYOMBO VINAVYOHUSIANA NA MASWALA HAYO YA BARABARANI?? HIVI UNATAKA KUDANGANYA WATU KUWA KILA SIKU UNAPOKAMWATWA UNATOA LAKI TANO?? THEN UNAENDESHA GARI ILI UPATE TSH NGAPI?? ACHENI UONGO NA KUJISAFISHA, FUATENI SHERIA NA MUWE SMART MUONE KAMA MTAKAMATWA HIVYO NA HAO TRAFIC>

    ReplyDelete
  2. kaka Michuzi hii ya ni mada nzuri walichokifanya ni kizuri kwa wao je? kwa abiria mimi mawazo yangu yawe kama Japani ukisababisha ajali hanma cha nani wala nani ni kufungiwa leseni milele hakuna kuendesha gari,cha pili nchi yetu ibadilishae sheria zake dereva akiua naye apigwe miaka 30 au kifungo cha maisha,madereva wengine hasa wamikoani Pariki,Gomba na hata gongo through out kwanini usilewe?na hali uko na abiria ndani ya gari.ni hayotu kaka.

    ReplyDelete
  3. HII NCHI KWA COMEDY. NILIDHANI SUALAA LA MUHIMU NI JINSI GANI WAHUSIKA WASHIRIKIANE KUPUNGUZA AJALI NA VIFO VYA MAMIA YA WATU WASIOKUWA NA HATIA.
    KUMBE NI MEDEREVA WABOVU WANATINGISHA KIBIRITI.

    YOU ARE ALL DESPICABLE!!!
    YOU HAVE NO RESPECT FOR HUMAN LIFE.
    EVEN YOU MR. KOVU.

    ReplyDelete
  4. Unakwenda speed hadi 90 halafu unamwambia askari akuonye? kumbe unajua kabisa kwamba unavunja sheria!!! watu wanakufa kwa sababu ya mchezo kama huo wa akinikuta askari nimeongeza speed nitapewa warning!!
    Serikali ijitahidi iweke alama za barabarani ili kuepusha UTATA.

    Mahakimu wa bongo mujifunze haki za binaadamu!? Huwezi kumfunga dereva miaka thelathini kwa ajari ya kuchomoka tairi kwanza lazima mjue kwamba dereva siyo anaefanya service ya gari.kuna mlolongo wa watu kibao ambao ilibidi washtakiwe
    akiwepo mwenye basi.
    Kosa la ajari hasa ya kuua mtu inabidi madereva wafungwe miaka hadi mitano siyo thelathini huu ni ukatili. Naomba sheria iangaliwe upya ili majaji wenye roho mbaya wasipate mwanya wa kufurahisha nafsi zao
    Mungu ibariki globu ya jamii iendelee kuwa mfano wa kuigwa kama vile globpublisher walivyoiga kutoa live video.
    Mdau.

    ReplyDelete
  5. Kama watu wanaenda na spidi kali namna hii, basi itungwe sheria ya kuwa magari yote yaagizwayo yawe na spidi maximum 60. hata ukipiga gia ya tano spidi yake ni 60.

    Mkulima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...