Vekesheni inaanza kuwa maarufu na kila kikicha watu wanachanja ang. na ndo maana mzee mzima deo mushi wa daily news nae ameamua kujipa kajivekesheni na kwenda Italy kuchukua ka-kozi kafupi kuhisiana na "COMMUNICATING LABOUR RIGHTS". Hapa yupo na yule mwandishi mahiri kijana kutoka nigeria bi Zainab Mohammed na walimu wake kutoka US David na Mary. hongera mtu mzima. ila subiri waosha vinywa na madongo yao, maana mtu kwenda vekesheni kwao ni shubiri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Konozzzzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  2. Bwana Mushi, fanya fanya kupunguza trips za mkono kwenye kinywani na pia big zoezi zaidi. Usije ukawa kama yule jamaa wa FIFA aliyekuwa Zanzibar hivi karibu na akajadiliwa hapa kwenye blog ya jamii.

    Salamu zetu kwa POPE bwana Mangi.

    ReplyDelete
  3. SI VIBAYA TUKAITUMIA FURSA HII YA VEKESHENI KUPEANA FIKRA
    MZEE MZIMA DEO MUSHI NAAMINI HUKO TORINO VIFAA VYA MAZOEZI GHARAMA YAKE NI NAFUU KULINGANISHA NA NYUMBANI, HIVYO ITUMIE FURSA HIYO KUJINUNULIA BAADHI YA VIFAA, HASA VYA KUPUNGUZA TUMBO, MAANA MWILI WAKO UNATISHA MNO.
    UNAHITAJI KUJIANGALIA VIZURI MZEE MZIMA, MAANA UNAFUGA MARADHI
    AHSNTE SANA
    Mndengereko, Ukerewe

    ReplyDelete
  4. mmmh huyu jamaa atakuwa kachukua pesa za siku za mauzo ya magazeti maana na najua mshahara wa wafanyakazi wote pale daily news kuanzia michuzi mshahara wake wa laki moja na ishirini na tano 125,000 hadi mushi 1,2450.

    mimi sikubali lazima nimfuate boss nami anipe likizo napiga picha kila siku mitaani likizo tunaambiwa tuende bagamoyo kupumzika. aakh


    MDAU MWENYE WIVU NA VACATION ZA WATU.
    K/L JUJU

    ReplyDelete
  5. Mbunge wa nanihii, mimi ni 'huyo mwandishi kijana wa Nigeria' tu......

    ReplyDelete
  6. Naona ujumbe kwenye hii picha umechokoza wale wasiopenda vekesheni za watu........haya tuone responses zitakuwaje.

    Huyo mwandishi wa Nigeria katulia lakini.........

    ReplyDelete
  7. Mwandishi wa Nigeria amefunika, hm!!!

    ReplyDelete
  8. Mnigeria katulia wapi? Manyama uzembe tu naye. Wote inabidi wanunue vifaa vya mazoezi huko Torino kama alivyosema mdau hapo juu.

    Deo nadhani huyu Mnigeria hasomi hii blog na wala hajui Kiswahili. Tafadhali mpe huu ujumbe.

    Mangi mazoezi muhimu sana kaka hasa kwako.

    Vekesheni njema.

    ReplyDelete
  9. At least tunajua ameenda kwa kozi fupi akirudi na doctorate (Dr) hatuikubali ng'o!!!

    Kaka ukiibania sawa, lakini wabongo wamezidi mno kwa usanii.

    ReplyDelete
  10. kama huyu ndiye mushi aliyekuwa anaandika makala znuri na kuwashauri maaskofu na kanisa- sasa ni Wakati wako nawe kupokea Ushauri Mzuri: Fanya Mazoezi kwa ajili ya Afya Nzuri, maana hali hii itakufanya Mzembe Kazini na hata kwenye Maisha ya "Ndoa", zaidi utakuwa Kichunguu cha kila aina ya magonjwa ukianza na kisukari, PUNGUZZA, KULA KIASI NA KUNYWA KIASI UKIAMBATANISHA NA MAZOEZI. MFANO MZURI MTI MKAVU WAZIRI PINDA

    ReplyDelete
  11. LAKINI MBONA KOZI HII YA COMMUNICATING LABOUR RIGHTS HAIPO KWENYE SYLLABUS YA VYUO VYETU VYA UANDISHI WA HABARI? UNAONAJE UKITENGENEZA SYLLUBUS YAKE IKATUMIWA NA VYUO VYETU BWANA MUSHI? JUST A SUGGESTION PLEASE. Waanndishi wetu huwa ni very poor katika kuandika habari zinazohusiana na haki za wafanyakazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...