msanii nguli wa mashairi mrisho mpoto ambaye ni maarufu kwa jina la 'mjomba'ameanzisha bendi itayoitwa jina hilo hilo - Mjomba music band. ameiambia globu ya jamii usiku huu wakati akitumbuiza kwenye ukumbi wa Nkrumah Hall chuo kikuu cha university of dar kwamba ana vijana 10 wa jinsia mbalimbali wanaounda kundi hilo lenye vionjo vyote vya muziki.
waimbaji wa mjomba music band wakiwa katika onesho lao la kwanza leo UDSM

muziki uliopokolea hakuna alieketi kitini
mjomba akishangiliwa kwa mambo yake mazito ya kuomba nauli
waimba
tokomile, sindimba, bongo flava, sebene vyote unavipata Mjomba music band

mrisho mpoto akimtambulisha mwalimu wake wa shule ya msingi (shoto) na mjomba wake wa kwelikweli
mjomba music band katika picha ya pamoja
kwa mawasiliano na kundi hili piga namba
+255 754 987 838
au
+255 712 056 748
ama








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera saana MJOMBA. Ila kaka Michuzi, hao "vijana 10 wa jinsia mbalimbali" wana jinsia ngapi?
    Just having fun.
    Blessings

    ReplyDelete
  2. mrisho mpoto yuko juu sana hivi wana undugu na lady jay dee manake wanafanana sanna

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...