Mdau Kiluke akiwa kwenye mashindanoya kimataifa ya karate.
yaliyofanyika Hachioji Tokyo ambapo alishinda kwa pointi nyingi
Mdau Kiluke akiwa na washindi wenzie
Mdau Kiluke akipokea nondozzz ya ushindi wake. Wabongo tumo nasi...



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera sana kwa kutuwakilisha: hivi huwa mnajifunza na kukwepa risasi na mabomu maana bongo bwana........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...