nilimkuta mdau huyo akiwa anaomba pale mataa ya barabara ya kawawa (zamani morocco) road mnamo saa 6 usiku. jamani hii imekaaje?Ahsante mdau Halahala kwa kumpatia kofia ya kampuni ya 'Wakawaka'. Nawasilisha.
Mdau Dean

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. jamani hawa wangewekwa mahali pa kutunzwa maana hao wauaji je?

    ReplyDelete
  2. Huyo mbona yupo kazini usiwe na wasiwasi naye. Kwa wale tuliotoka maeneo ya pwani tunaita chambo. Yaani unamuweka kwenye ndoana ili avutie samaki kunaswa. Kama unabisha wewe shuka jifanye unataka kumdhulu, uone utawataja wenzako mnaoshughulikiana nao biashara hiyo ya kinyama. Hapo kuna watu wa usalama wanamuwatch very closely.

    ReplyDelete
  3. INA MAANA MSHAMTAMANI SIO??

    ReplyDelete
  4. KUWENI MAKINI NA MAONI YENU NA VITU MNAVYOPOST SOMETYMZ....

    ReplyDelete
  5. huyu jamaa zamani alikuwa salenda ni mlevi akisha zikusanya

    ReplyDelete
  6. Ndugu wadau,
    Huyu jamaa ni namfahamu vizuri sana tangu tulipokuwa pale Tanga kunani... husasani mitaa ya Centro,, jina lake kamili anitwa Kasimu na sijui ni nini kilichotokea maana aliondoka kunani akaelekea Sauzi lakini baada ya kurudi ndio akaishia kuomba anyway lakini kila mtu anampamgilio wake wa maisha labda hapo anzikusanya tena ili aweze kwenda sauzi tena kwenye weldicup... misupu hebu tufanyie mahojiano nae ili tujue mambo kwaundani zaidi yakuwa ahogopi kukaa muda wote hapo moroco na ulevi wake na haugopi matatizo yanayowatokea maalibino wenzake .. nimeomba hivyo misupu kwa sababu najua ni karibu na makazi yako

    Mdau

    ReplyDelete
  7. huyu jamaa ukimnyima hela anakutukama matusi ya nguoni.

    ReplyDelete
  8. anatukana sana huyo. tena matusi ya nguoni

    ReplyDelete
  9. Siku za nyuma nilikuwa namkuta kwenye junction ya Ali Hassan Mwinyi na Kenyatta Drive Anaomba kuanzia asubuhi mpaka saa 4 anaondoka anaenda grocery ya Ubalozini pale karibu na Ubalozi wa France (Kilimani Rd.Akifika pale anaagiza supu na chapati na cocacola. Halafu anarudi tena kuwinda pesa pale pale kwenye junction. Ikifika jioni anaenda tena ubalozini. Safari anazikung'uta safari lager maji ya Ilala mbele kwa mbele na faggy yake wala hana wasi. Hiyo ndiyo Dar ukiwa huna soni mambo ya kuishi unafanikiwa.

    ReplyDelete
  10. juzi nilimkuta hapo mitaa ya saa nne unusu nikamwambia apande nyuma afu kulikuwa na watu nyumba ya gari langu wakatishia kufungua milango aliruka huyo akakimbiia kwenye zile kota za polisi sisis hao tukaendelea zetu. Kumbe anaogopa kuibiwa si tulikuwa tunamtest

    ReplyDelete
  11. huyu jamaa alikua anaomba pale salenda mataa kwa muda mrefu ukipita mwanamke lazima akuchokoze au akufuate akipata hela ni kulewa na kutukana hana maana.

    ReplyDelete
  12. Naye ni raia kama Samweli Sita apewe ulizi na kamanda kova maana maisha yake yapo hatarini akiwa katika kazi halari ya kulitumikia taifa

    ReplyDelete
  13. anaomba ukimnyima anakutemea mate..yashatukuta

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...