Home
Unlabelled
mdau wa mataa ya morocco
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hawa wangewekwa mahali pa kutunzwa maana hao wauaji je?
ReplyDeleteHuyo mbona yupo kazini usiwe na wasiwasi naye. Kwa wale tuliotoka maeneo ya pwani tunaita chambo. Yaani unamuweka kwenye ndoana ili avutie samaki kunaswa. Kama unabisha wewe shuka jifanye unataka kumdhulu, uone utawataja wenzako mnaoshughulikiana nao biashara hiyo ya kinyama. Hapo kuna watu wa usalama wanamuwatch very closely.
ReplyDeleteINA MAANA MSHAMTAMANI SIO??
ReplyDeleteKUWENI MAKINI NA MAONI YENU NA VITU MNAVYOPOST SOMETYMZ....
ReplyDeletehuyu jamaa zamani alikuwa salenda ni mlevi akisha zikusanya
ReplyDeleteNdugu wadau,
ReplyDeleteHuyu jamaa ni namfahamu vizuri sana tangu tulipokuwa pale Tanga kunani... husasani mitaa ya Centro,, jina lake kamili anitwa Kasimu na sijui ni nini kilichotokea maana aliondoka kunani akaelekea Sauzi lakini baada ya kurudi ndio akaishia kuomba anyway lakini kila mtu anampamgilio wake wa maisha labda hapo anzikusanya tena ili aweze kwenda sauzi tena kwenye weldicup... misupu hebu tufanyie mahojiano nae ili tujue mambo kwaundani zaidi yakuwa ahogopi kukaa muda wote hapo moroco na ulevi wake na haugopi matatizo yanayowatokea maalibino wenzake .. nimeomba hivyo misupu kwa sababu najua ni karibu na makazi yako
Mdau
huyu jamaa ukimnyima hela anakutukama matusi ya nguoni.
ReplyDeleteanatukana sana huyo. tena matusi ya nguoni
ReplyDeleteSiku za nyuma nilikuwa namkuta kwenye junction ya Ali Hassan Mwinyi na Kenyatta Drive Anaomba kuanzia asubuhi mpaka saa 4 anaondoka anaenda grocery ya Ubalozini pale karibu na Ubalozi wa France (Kilimani Rd.Akifika pale anaagiza supu na chapati na cocacola. Halafu anarudi tena kuwinda pesa pale pale kwenye junction. Ikifika jioni anaenda tena ubalozini. Safari anazikung'uta safari lager maji ya Ilala mbele kwa mbele na faggy yake wala hana wasi. Hiyo ndiyo Dar ukiwa huna soni mambo ya kuishi unafanikiwa.
ReplyDeletejuzi nilimkuta hapo mitaa ya saa nne unusu nikamwambia apande nyuma afu kulikuwa na watu nyumba ya gari langu wakatishia kufungua milango aliruka huyo akakimbiia kwenye zile kota za polisi sisis hao tukaendelea zetu. Kumbe anaogopa kuibiwa si tulikuwa tunamtest
ReplyDeletehuyu jamaa alikua anaomba pale salenda mataa kwa muda mrefu ukipita mwanamke lazima akuchokoze au akufuate akipata hela ni kulewa na kutukana hana maana.
ReplyDeleteNaye ni raia kama Samweli Sita apewe ulizi na kamanda kova maana maisha yake yapo hatarini akiwa katika kazi halari ya kulitumikia taifa
ReplyDeleteanaomba ukimnyima anakutemea mate..yashatukuta
ReplyDelete