WADAU HABARI ZA WIKIENDI.
GLOBU YA JAMII INAPENDA KUELEZEA FURAHA YAKE KWA SAPOTI YA NGUVU MNAYOIPA, IKIZINGATIWA KWAMBA HIVI SASA PALE CHINI KULIA TARAKIMU ZINAONESHA KWAMBA MDAU WA MILIONI 7 ANANUKIA NA ANAKUJA KWA KASI.
MCHAKATO WA KUONGEA NA MFADHILI UMESHAANZA NA MAMBO YAKIENDA MSWANO MDAU MWINGINE ATANUFAIKA SIKU ZI NYINGI ZIJAZO.
ASANTE WADAU WA SAPOTI YENU
MBARIKIWE NYOTE
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Asalam Aleykum Shekhe

    Najua matangazo (ndovu, Voda)yanakutoa kwa namna flani, lakini naona ka yamekuwa makubwa sana. Fanya maarifa yawe madogo madogo.

    Swaumu njema

    ReplyDelete
  2. ngoja tusubiri tuone.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...