bofya mshale umuone na kumsikiliza mjomba
Home
Unlabelled
mjomba mrisho mpoto alonga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
bofya mshale umuone na kumsikiliza mjomba
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakupata sana Mrisho.Kazi nzuri sana unayoifanya na hongera sana kwa kuanzisha bendi. Nina imani utapata wafadhili ili uweze kuuelimisha umma. Tatizo ni kwamba kuna kundi fulani la watu ambalo kazi kama yako ni kama sumu mbaya kwao na wasingependa kuona unaendelea. Endelea na kazi nzuri mjomba atakuja kukusikia tu!! Morris C.
ReplyDeletekumbe mi-character kama hii bado tunayo Bongo! safi sana.
ReplyDeleteWadau vita vyetu dhidi ya ufisadi lazima viendelee, hebu someni hii barua hapa chini. Mzungu analia kweli kweli
ReplyDeleteSubject: FW: RE: MY NIGHTMARE IN TANZANIA
Date: Tue, 4 Aug 2009 15:04:53 -0400
From: Ray Bergen
To: Lisana Koliskowski
Hello Lisa
I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania. The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam. And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft. Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.
Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania. They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino
Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in Mozambique where we received utmost hospitality.
Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy
Sincerely,
Ray Bergen
...saafi sanna mungu akujalie ufike mbali zaidi ya hapo inshallah utafanikiwa una ujumbe mkali na unawafikia walengwa kiutu uzima lol
ReplyDeletemdau canada
Namkubali Mjomba. na kwakuchanganya vya western na vya kwetu, kweli ameweza. Hata kwenye 'anything may be possible' ameweza. Kimsingi, asante mjomba
ReplyDeleteMjomba maneno na mikakati yako inaleta matumaini kuwa wazalendo na watetezi wa Tanzania na WaTanzania tupo wengi
ReplyDeleteUshauri wangu mjomba, ni vizuri ukaoorodhesha vyombo unavyohitaji kuwa navyo ktk bendi yako ili kila mtu ajaribu kuchagua kile atakachoweza kukusaidia.Unajua huku nchi za watu vyombo vipo na bei yake ipo chini kiasi, hivyo tunaweza jipigapiga mjomba kukuwezesha.
Wito wangu kwa wadau wote tumsaidie mjomba ili afikishe vizuri ujumbe kwa zeMJOMBAz.
Mjomba Mrisho, mawazo yako ni mazuri tena sana. Ninakupa hongera. Kama unaona maadali yetu yamepungua ningekushauri kazi yao uiweke katika haya:
ReplyDelete(1) Lugha yetu
(2) Mavazi yetu
(3) Kuishi na kula kwetu
(4) Na mengine mengi ambayo siyaoni kwa karibu.
Mimi nipo tayari kukupatia jeki ili tulinde maadali tuliyoachiwa na mababu zetu. Maadali yetu yanaporomoka. Ukienda China, Ukienda Nigeria, Ukienda Bukoba utakuta watu wanakumbatia maadali yao, ikiwa ni pamoja na kujivunia lugha yao na mavazi yao pia. Lakini sisi watanzania, ukitoka tu ukaenda hapo zambia (mambo yako yote utaiga ya wazambia, yawe mema au mabaya.
Mjomba mrisho, nakupa alama A+ kwa sasa, lakini kwanza nipigie simu basi tuongee ili tusogeze mbele hilo gurudumu la maendeleo uliloanzisha. namba yangu ni 999 (au 911?).
Michu mdogo wangu naomba nitoe hoja (MH)
Mini nashangaa wazungu wanawanea huruma watanzania, kwani wenyewe kwa wenyewe hawaoneani huruma. Fikiria mzungu kaenda kusaidia nini kilichomfika, yaani wanafaa waachwe na misaada wasipewe. Ukiwa unafuatilia kitu kwenye ofisi yoyote ndio utakapojua hakina kilicho - straight kote rushwa tu.
ReplyDeleteMdau.
aiseeeee kumbe MJOMBA anachonga mbaya...dah, big up michu na mjomba.......
ReplyDeleteHe is my number one Music Artist in Tanzania period; huyu jamaa ni kichwa sana ajiendeleze na mapambano yake yawe na tija na tunamtakia kila la kheri
ReplyDeleteMjomba hongera you are a true visionary, tatizo Tanzania ya leo imemezwa katika Globalisation kiasi kwamba ideas kama za kwako ni taabu kuona mwanga, mfano ukitembea miji kama Lagos ama Cairo na utaona waziwazi kuwa waafrika wenzetu wanapreserve culture yao na wanaithamini lakini ukija Dar utaweza ukachanganyikiwa na kufikiri upo ulaya watu hususan vijana wamepoteza utamaduni wao na mwelekeo kabisa, MTV generation.
ReplyDeleteTatizo mjomba mengi unayoyaongea kwa mfano migodi wanasiasa walio madarakani hawayapendi na kibongobongo ni vigumu kupata sapoti ya mapromota kama hujapata baraka za wanasiasa.
Anyway keep it up, it's a good start na hongera kuwapata wasanii wa Bongo flava tunakuombea wasikukimbie, maana kule Bongoflava wakiimba mapenzimapenzi wanagaiwa ulabu wa bure na lift ya kwenda nyumbani wameridhika. Sasa wewe kwako hawapatimitungi na milupo ya bure mmh! kazi unayo kuwalinda.
Mjomba Mrisho, nyimbo na ngonjera zako zimulike watu wetu ili wajenge jamii iliyojengeka imara. Nimependa nukuu za Sai Baba ambazo unaweza kuzifikiria wakati unapanga mipango yako ya kuwaambia au kutuambia kwamba tuishi kama jamii iliyoneemeka kwa maadili.
ReplyDelete(1) "Do not be misled by what you see around you, or be influenced by what you see. You live in a world which is a playground of illusion, full of false paths, false values and false ideals......" Sai Baba
(2) "What matters is to live in the present, live now, for every moment is now. It is your thoughts and acts of the moment that create your future. The outline of your future path already exists, for you created its pattern by your past".
Sai Baba
Michu mdogo wangu naomba kupeleka hoja (MH)
MICHUZI TUSAIDIE KUWEKA HABARI YA MZUNGU IJITEGEMEE LABLA MJOMBA ANAWEZA KUREKEBISHA,ANGALAU KUWAWAJIBISHA WATU.MANAKE BONGO ATA CONTENER LA MIZIGO BANDARINI LINAPOTEA NA HAKUNA MJOMBA HATA MMOJA ANAYESHITUKA.
ReplyDeletemichuzi hiyo barua aliyobandika mdau Tarehe Thu Aug 13, 01:45:00 PM, Tunaomba uiweke barazani kwenye post zako, ili wengi waione na waelewe kwamba watu wamechoka na ufisadi unaoendeshwa huko...
ReplyDeleteNawakilisha
Michuzi, Michuzi ,Michuzi Please Please nakuomba uiweke hiyo barua ya mzungu wa Marekani peke yake ili wadau waweze kuisoma. Tafadhali sana mkuu weka hiyo ili watu waweze kuijadili. Tumeaibishwa vya kutosha na taasisi zetu.
ReplyDeleteKama unatetea utamaduni wa kitanzania basi ujue kwamba lugha ni sehemu ya utamaduni. Hivi utamaduni na culture ni vitu viwili tofauti?
ReplyDeleteHONGERA MJOMBA KAZI NZURI
ReplyDeleteHamna haja yakuweka barua kama hiyo front page maana haina details za hizo tuhuma, tutajuwaje kama hiyo email ni genuine? inawezekana mtu kaamua kuharibu jina la nchi yetu. kwangu mimi ninaona ina mapungufu na hai qualify kuwekwa mbele. Wazungu wenyewe wanatunyanyasa sana huku kwao america esp polisi akikuona black unaendesha gari kari inakuwa soo nyie endeleeni kuwafanyia shwine hawa
ReplyDelete