mpambaji na mpika keki maarufu nchini monica makundi akiandaa keki katika mnuso mmoja wa send off usiku wa kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall. pia, ua garagaza monica yuko juu
muonekano wa kiafrika
kwa nje
meza kuu




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. CAN WE GET MONICA'S CONTACT INFO
    P'SE?
    THX

    ReplyDelete
  2. Duh damn kweli panatisha wangu..hata hapa majuu sio kihivyo..!!!.Kumbe "shughuli" yangu naiamishia hapo Bono,sema tu haujtupa phone ya dadaa Monica.

    ReplyDelete
  3. huyu dada namkumbuka nafikiri ni yeye aliyekuwa anafanya kazi British airways... manake mwili wake ni ule ule "thick" hazeeki sijui ndio keki hizo. afu kaka michuzi weka na kamusi hapa pembeni manake ukisema vitu kama "libeneke", "mdau", sie wengine hatuelewi tumeondoka nyumbani miaka mingi fafanua please.
    From Washington, DC

    ReplyDelete
  4. Wadau naomba mnifahamishe, huo ni ukumbi gani?

    ReplyDelete
  5. please michuzi tuwekee website zao kama wanazo

    ReplyDelete
  6. weka basi anwani yake huyo monica mana watu tuna shuguli zetu tunataka mambo ya asili kama hayo sasa?

    ReplyDelete
  7. Tunaomba utupe contact zake pls,mara nyingi ukekuwa ukimtoa keki na upambaji wake uko juu!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  8. Jamani si kumfagilia dada Monica lakini ni kweli mambi yake ni makubwa, Ninamfahamu Monica tangu miaka ya mwishoni mwa themanini na ni kweli ni yeye aliyefanya kazi na British airways, ni mpambaji wa mwanzoni kabisa katika wapambaji na hakuna ninaye mfananisha nae hadi leo hii, kwani waliofuata wameiga toka kwake, na kama hakutengeneza pesa nzuri miaka ya tisini basi hatatengeneza tena, alikua anaishi Temeke, mpole na anaelewa thamani ya mteja, utafurahi kufanya biashara na Monica, nalugha nzuri mno kibiashara na atakufanyia huduma yoyote kulingana na pesa yako, nimeintroduce watu wengi kwake na wote walininishukuru sana kana kwamba mimi ndo Monica mwenyewe, jamani Monica ni kiboko tukubali tukatae, ni mama yao, kweli weka contact zake, watu wafaidi na huduma za Monica. Monica Congrats, keep it up!!

    ReplyDelete
  9. Eti.. atafufanyia huduma yeyote kulingana na pesa yako, wewe Anon; wa 01:59 PM acha utani wewe!

    ReplyDelete
  10. Monica hongera, lakini usile hizo keki kwa wingi, ndio, tunajua itabidi uonje upishi wako, lakini.....

    ReplyDelete
  11. jamani hamjui kuna kulipia matangazo? mwambieni monica aweke tangazo kwa michuzi na si michuzi awaunganishe nyie tuuuu...

    ReplyDelete
  12. eeehhh..aunty monica yupo juu sana nakumubuka back in the days alikua anapika cake for birthdays mashallah! sijawahi kula keki taaamu kama za aunty monica...keep it up aunty!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...