msanii nguli wa mashairi mrisho mpoto ambaye ni maarufu kwa jina la 'mjomba'ameanzisha bendi itayoitwa jina hilo hilo - Mjomba music band. ameiambia globu ya jamii usiku huu wakati akitumbuiza kwenye ukumbi wa Nkrumah Hall chuo kikuu cha university of dar kwamba ana vijana 10 wa jinsia mbalimbali wanaounda kundi hilo lenye vionjo vyote vya muziki.
waimbaji wa mjomba music band wakiwa katika onesho lao la kwanza leo UDSM
muziki uliopokolea hakuna alieketi kitini
mjomba akishangiliwa kwa mambo yake mazito ya kuomba nauli 




Hongera saana MJOMBA. Ila kaka Michuzi, hao "vijana 10 wa jinsia mbalimbali" wana jinsia ngapi?
ReplyDeleteJust having fun.
Blessings
mrisho mpoto yuko juu sana hivi wana undugu na lady jay dee manake wanafanana sanna
ReplyDelete