Wadau,
Nategemea kufungua mgahawa wa chakula cha kisasa maeneo ya sinza mori.hivyo nahitaji wahudumu wenye ujuzi na wapishi wa kupika vyakula vyote wenye ujuzi.

Kwa wale wenye ujuzi na uwezo wa kazi
hizo wawasiliane nami kwa namba hii
255 715 000 890.

Nahitaji
Wahudumu 3
Wapishi 2
Wenu mdau
Mac Temba, Edwin

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Naishi Ca, nina uzoefu wa miaka kumi wa kuosha vyombo na kuhudumia wateja. Naomba kazi

    ReplyDelete
  2. "chakula cha kisasa"

    ReplyDelete
  3. Una wazimu! chakula cha kisasa ndiyo nini?

    Mfanyakazi gani ataomba kazi kwenye mgahawa usiojua hata huduma itakayotoa....chakula cha kisasa....sijawahi kusikia....labda fafanua.

    ReplyDelete
  4. MliakuvanaAugust 16, 2009

    Nenda VETA Chang'ombe kuna wanafunzi wengi tu wenye certificates(wale waliomaliza darasa la saba) na hata diploma (form four na zaidi)

    Ila itabidi uwaeleze "chakula cha kisasa" ni kipi kwani yawezekana pale VETA curriculum haina hiyo kozi!

    ReplyDelete
  5. Mimi najua sana kupika uje wa mahindi, pamoja na ugali maharage nina experience ya miaka mingi kwani nilifanya katika shule za bweni za serikali kwa miaka kumi.

    Vyakula hivi vinawateja sana Sinza.

    Utafanya biashara bosi wangu.

    Natumaini maombi yangu yatapolewa.

    Ni pigie simu 0756992856

    Wako mpishi mtarajiwa.

    ReplyDelete
  6. Mie ni mpishi mzuri ila chakula nachojua kupika sina uhakika kama ni cha kisasa au cha kizamani.nina uzoefu na kupika mchicha,tembele,makande uji wa nazi na vitumbua.pia kuna kipindi nilichukua kozi ya kuchoma mihogo hivyo natumaini CV imetulia.Najua mambo ya sinza "ndizi nyama" lakini tunaweza kutoka na recipe yetu tukawa unique kidogo.
    tuwasiline

    ReplyDelete
  7. mim nna ujuzi wa kutosha kwani kila siku napika nyumbani kwangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...